vyote vimekatazwaNdo mtoa mada anauliza kitimoto ni haramu zaidi ya pombe?
Alianzisha hii ni YesuChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Kuna mmoja ameniambia bora azini nje ya ndoa lakini sio kula kitimotoChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Asante kwa ufafanuzi mzuri.vyote vimekatazwa
Suala la kipi kinapewa uzito ni mtazo tu wa jamii
Mfano; Wizi wa mali za umma ni tatizo kubwa ila unaona inaongelewa kirahisi rahisi tu
Mtu anaweza kuchepushe hela na kufanya watu wafe kwa kukosa huduma ila ionekane kawaida; kuliko mwizi wa kuku
watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;Weka hivyo vifungu hapa upate elimu ya dini Acha kusoma biblia ukaitafasiri kama ulivo
Mambo najisi/haramu ni mengi sana ukiamua kufuata maandiko siyo rahisi ku survive katika hii dunia.Mbona hata kwenye biblia imeandikwa nguruwe ni najisi
Vipi kambale, pweza, kaa,kamba, ngisi,sungura unakula?Sisi ni wakristo na hatuli nguruwe maana bible imekataza
Na ukaaminiNilisikia hii story tangu nilivyokuwa mdogo
Nipo mdogo primary huko nitaachaje kuamini😆Na ukaamini
mbona wanakula kisirisiriChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Waislamu kule jangwani uarabuni kwa Mohamed walikuwa hawachimbi sana kaburi kwenda chini.Nguruwe akafukua kaburi la mogamed akatafuna mkono wake
Waislamu wakamdaka yule nguruwe
Kurani iliandikwa miaka kibao baad ya Mohamed hicho kisa waandishi wakaandika nguruwe haramu kula wakati kabla kufa Mohamed alikuwa anakula
Kwenda zako mwana weweNaishi nao
Sindo hapo mtu anajikalia zake rufiji huko anajifanya mjuajiAnaleta mambo ya walawi Tanzania 🤣🤣
Kwani Yesu " mwana wa Mungu na Mungu aliye hai" alifakamia nguruwe 🐷 hata mara moja?🥱
Nataka nifuate nyayo zao kuanzia mwakaniWaislamu hawachukii mnyama yoyote isipokuwa kitimoto kwa munibu wa Imani ya kiislamu ni haramu kula na hata kwa baadhi ya wakristo ni hivyo hivyo
Hahahhawanasema paulo kawaruhusu 😁