Lone warrior
Member
- Jun 2, 2025
- 25
- 16
Hana uharamu ila aliye muumba alipanga kipi tule na kipi tusile,na siyo nguruwe tu, kuna sungura ,ngamia ,baadhi ya samaki, na ndege piaSuala la imani kila mtu ana imani yake. Kwahy kuhusu imani kaa nayo Ww mwnyw unayeamini.
Swali langu linabaki vilevile, uharamu wa kitimoto ni upi?
Yesu kivipi? mimi nimetoa somo la kukataza kula nguruwe according to bibleHuyo ndiye Yesu au ? Mbona hamna heshima nyinyi viumbe?
Hatuli, tunakula samaki wenye magamba na mapezi kama ilivyoandikwa katika biblia.Vipi kambale, pweza, kaa,kamba, ngisi,sungura unakula?
sasa nimekufahamu, sorryYesu kivipi? mimi nimetoa somo la kukataza kula nguruwe according to bible
Yani ni changamoto sana, labda wao wanatumia zile ahadi alizoahidiwa babu yao Ibrahimu, na baba yao Yakobo kuwa Mungu atawabariki na atakuwa pamoja nao na pia wanatumia lile agano kati ya Mungu na vizazi vya Ibrahimu mpaka Israeli (Yakobo). Na kuna jambo hata mimi hapo linanishangaza, ina maana unabii wa Nabii Isaya kuhusu Yesu wanaoukubali mpaka leo ina maana wanadhani bado haujatimia? 😂😂Uko sahihi. Marabi hawakubaliani ya kwamba yule aliye angikwq mtini alikuwa Mesiya. Ila hawana ubishi na unabii wa Isaya kwamba wamepata mwana ambaye uwezo na utukufu uko mabegani mwake.
Sasa swali langu ni kuwa hawa wayahudi wa Yombo Dovya hawasomi kwamba Israel 🇮🇱 anajulikana kama muuaji wa manabii? Halafu pia hawamkubali njia na uzima, yaani Yesu. Sasa huo uteule wanautoa wapi???
Waanzilishi wa picha za ngono duniani wawe hawali nguruwe? Sidhani 🤣🤣Hata hao watu wenu wa taifa teule wanachukia kitimoto mbona hamuwalalamikii
Yani ni changamoto sana, labda wao wanatumia zile ahadi alizoahidiwa babu yao Ibrahimu, na baba yao Yakobo kuwa Mungu atawabariki na atakuwa pamoja nao na pia wanatumia lile agano kati ya Mungu na vizazi vya Ibrahimu mpaka Israeli (Yakobo). Na kuna jambo hata mimi hapo linanishangaza, ina maana unabii wa Nabii Isaya kuhusu Yesu wanaoukubali mpaka leo ina maana wanadhani bado haujatimia? 😂😂
Hata ungemuuliza akuelekeze kwa madada poa angekuonesha lakini sio kwenye kitimotoChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Peleka bangi zako hukoKitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Watu wana wivu sana....anayemsema vibaya mai wetu namchukia kuliko anavyomchukia kitimotoutamu wa 🪑🔥 watuachie tuu
tena futa lake ukaangie chips aaaah utamuuuuWatu wana wivu sana....anayemsema vibaya mai wetu namchukia kuliko anavyomchukia kitimoto
halafu anatokea mtu na kobazi lake la elfu tatu aniambie ni haramu et....namlogaatena futa lake ukaangie chips aaaah utamuuuu
🤣🤣🤣halafu anatokea mtu na kobazi lake la elfu tatu aniambie ni haramu et....namlogaa
Duh! Kazi ipo kwa kweli 😅😅Hapo hawambishii nabii Isaya. Ila wanapinga kama unabii ule ulitimia. Wanasema Yesu asingeweza kuja kinyonge vile kwa masikini na kuzaliwa kwenye holi la ng'ombe
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Kwanza naona umetambua na kujuwa muislam hali nguruwe kwahiyo iledhana siku ya eid mubarakah eti waislam wanakula huyo mdudu umewasibitishia wenzako sio kweli pili muislam hali nguruwe kwa sababu nguruwe hakuletwa kwa ajili yakuliwa bali anakazi yake maalumu hata wewe unaijua hivyo kutokana kazi hiyo anamagojwa mengi. lakini mmekazania nguruwe mbona hamsemi kunguru na ndege wengine wanaokamatia kucha?kuna nyani simba. Chui na wanyama wengine ambao huwinda na kukamata nyama nakuwala wote hawa sihalali kuliwa wote hawa wanamaradhi ambayo yataharibu afya yakoChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!