Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Wanaomuua na kumla huyo kiti moto ndio waseme alichowakosea!
Naomba ushahidi je ni nabii gani alikula nguruwe? Nani anaoushshidi yesu alikula nguruwe? Siitaji mtu anijibu anachofikiria yeye toa kitabuni
Alafu swali la waislam kwanini kila siku tunaulizwa sisi tu je
Mmewauliza wasabato? Au wasabato wanakula?
 
Naomba ushahidi je ni nabii gani alikula nguruwe? Nani anaoushshidi yesu alikula nguruwe? Siitaji mtu anijibu anachofikiria yeye toa kitabuni
Alafu swali la waislam kwanini kila siku tunaulizwa sisi tu je
Mmewauliza wasabato? Au wasabato wanakula?
Unayouliza hayaendani na nilichokisema Mkuu.
 
Ukristo una vi loop holes vingi sana vya kuhalisha vitu vingi sana , biblia ipo disorganised mno🤔
Unacho ongea ni vice versa
Uislamu hakuna dhambi haujaruhusu
Kiufupu amri zote za musa uislamu umeruhusu

1. Kutamani mke , imeruhusiwa kupitia mudy alitamani mke wa mtoto wake mpaka aya ikashuka
2. Kuzini , imeruhusiwa kula house girl bila ndoa
3. Usiibe , Muhammad aliruhusiwa kuiba ngawira na alikutwa na chupi kaiba
4. Uongo Allah karuhusu inaitwa takiya

Zote karuhusu
Mpaka kitimoto kasema ukiwa na njaa kula
 
OK
 
Kwa hiyo koran ilipo sema ukiwa na njaa Kali kula , Allah alikuwa hajui kuna maradhi?
 
My muslim brothers really amaze me. These negroes will sin in every possible way,stealing,fornicating,insulting,killing, but when it comes to eating pork that is where they draw the line. Ati its not halal. These guys will have a special fire for them in hell,a fire of hypocrisy
 
Mimi mwenyewe huwa nashanga sana. Muislamu yuko tayari kunywa pombe, kula riba, kushiriki kamari na kufanya uzinzi ila sio kitimoto!
 
Mimi mwenyewe huwa nashanga sana. Muislamu yuko tayari kunywa pombe, kula riba, kushiriki kamari na kufanya uzinzi ila sio kitimoto!

Yote hayo ni makosa na mwislamu hatakiwi kuyafanya. Unaweza ukasamehewa Kama Mungu akitaka, lakini kosa la kumfanya kiumbe chochote kuwa ni Mungu kosa hilo Mungu kasema wazi hasamehe hiyo ni Shirki.
 
Pita sehemu za kitimoto mwezi wa Ramadhani uone biashara inavyododa.
 
Ndugu yangu, umegusa mzizi wa Sayansi ya Kisaikolojia ya Kuchagua Dhambi (Selective Theocratic Indignation). Hili halitokani na ukubwa wa dhambi mbele za Mungu, bali linatokana na jinsi ubongo wa mwanadamu unavyoweka 'vifurushi na madaraja' kwenye makosa ya kijamii.
  • Soko Huria la Dhambi (The Sin Marketplace): Kwenye jamii zetu, dhambi zote zimekatazwa lakini kuna zile zinazopewa 'Leseni ya Kijamii' (Socially Approved Sins). Ulevi, uongo, na uzinzi ni dhambi za 'kiungwana' kwa sababu zinafanywa na watu wenye hadhi kubwa, wafanyabiashara, na viongozi. Muhudumu kukuonyesha bar ni kwa sababu pombe inachangia Pato la Taifa, inalipa kodi, na inaleta burudani. Nguruwe hana bajeti ya promosheni, hana viwanda vikubwa vinavyodhamini mashindano ya mpira, kwa hiyo ni rahisi kumfanya mbuzi wa kafara!
  • Upendeleo wa Tamaa (The Appetite Bias): Mwanadamu ana tabia ya kuisamehe kwa urahisi dhambi ambayo yeye mwenyewe anaweza kujikuta ana ifanya kesho asubuhi akizidiwa na tamaa (kama ulevi au uzinzi). Lakini kwa sababu muhudumu hajawahi na hatakuja kuwa na tamaa ya kula kitimoto, dhambi hiyo kwake inabadilika kutoka kuwa kosa la kawaida na kuwa 'Ugaidi vya Kidini'. Ni rahisi sana kuhukumu kwa ukali dhambi ambayo huna mpango wa kuifanya maishani mwako.


  • Diplomasia ya 'Maboti' na Hadhi ya Dhambi: Dini za maboti zilituletea vifurushi tofauti vya makosa. Pombe ilikuja kama kinywaji cha kistaarabu cha 'Wazungu na Waarabu' kwenye meli zao, kwa hiyo imepata hadhi ya kistaarabu (Classy Sin). Nguruwe alionekana kama mnyama wa maskini wa vijijini, hivyo akapachikwa nembo ya uchafu wa kiwango cha lami (Industrial-Grade Impurity). Muhudumu hajabadilika sura kwa sababu anakuonea huruma ukienda motoni; amebadilika sura kwa sababu ubongo wake umesakinishwa (programmed) kuamini kwamba chupa ya Heineken ina fadhila fulani ya kiungwana, lakini kilo moja ya kitimoto ni bomu la nyuklia la kiroho.
  • Mantiki ya Unajisi wa Kisayansi: Ukienda baa ukanywa kreti zima la bia na kuanguka mtaroni, kesho yake unahitaji tu Panadol na maji ya baridi ili kurudi kwenye hali yako. Lakini ukitaja 'kitimoto', mfumo wa kiibada unalazimisha akili ya muhudumu kuwaza habari za kuosha vyombo kwa udongo mara saba na kusugua kuta. Kiweledi, muhudumu anaogopa 'stress' za kufanya usafi wa kiroho na kisaikolojia kuliko anavyoogopa moto wenyewe wa Jahannam.
ANGALIZO RASMI NA MKAZO WA KITEOLOJIA KWA UMMA:
Kielimu na kimaandiko, kuna upofu mkubwa wa kijamii unaopaswa kuwekwa wazi: Mizani ya kiibada kwenye vitabu vya dini imepinduliwa vibaya sana na utamaduni.
Katika sheria halisi za kidini (Jurisprudence), ulevi na madhara yake ya kijamii vimepewa uzito na adhabu kubwa mno kuliko kosa la lishe la kula nguruwe. Ndani ya mfumo wa kisheria wa Kiislamu (Sharia), mnywa pombe anayeonekana hadharani anakabiliwa na adhabu kali ya viboko 40 hadi 80 (Hudud), sala zake zinakataliwa kiroho kwa siku 40, na kuna laana rasmi inayomgusa kila mtu kwenye mnyororo wa pombe. Hakuna adhabu ya kisheria ya viboko duniani iliyowekwa kwa mtu anayekula nguruwe. Zaidi ya hayo, Qur'ani inatamka wazi kuruhusiwa kwa mlaji kuila nyama hiyo katika mazingira ya dharura ya kuokoa uhai katika Surat Al-Baqarah (2:173):

“Yeye amewaharamishia nyinyi mzoga tu, na damu, na nyama ya nguruwe... Lakini aliyefikwa na dharura bila ya kuasi wala kupita mpaka, basi hatakuwa na dhambi.”
Vivyo hivyo, upande wa Ukristo na vitabu vya Agano Jipya, maandiko yanasimama kidete yakisisitiza kuwa ulevi unamnyima mtu ufalme wa Mungu, kama inavyosomeka katika 1 Wakorintho 6:9-10:

“Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike... wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi hawataurithi ufalme wa Mungu.”
Ushahidi huu wa kimaandiko unathibitisha pasipo shaka kuwa, chuki dhidi ya kitimoto si kielelezo cha uchaguzi wa kiroho, bali ni mshtuko wa kisaikolojia (visceral disgust) uliofanywa kuwa daktari wa imani. Jamii inapaswa kutambua kuwa: Kumuona mlevi, mzinzi, au mla rushwa kama 'mkosefu wa kawaida' huku ukimchukulia mla kitimoto kama 'ibilisi' ni unafiki wa kitamaduni. Ni kosa kubwa kiweledi kufanya kinyaa cha malezi yako kuwa ndio kipimo cha hukumu ya Mungu.



NB: Kiongozi wewe jifanyie uchunguzi wako mwenyewe uone wapi utakipata HOT CHAIR umalizie jioni vizuri!


 

1 Wakorintho 6:9-10:

“Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike... wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi hawataurithi ufalme wa Mungu.”
Hiyo aya mbona imeandikwa kivingine au hiyo ni satanic Bible au gay Bible?
 
Kwenye Quran na Biblia hakuzuiwa mnyama mmoja tu. Alizuiwa ngamia, sungura, samaki wasio na magamba nakadhalika. Lakini waislamu hula ngamia, sungura ila kitimoto hawagusi.
 
1 Wakorintho 6:9-10:


Hiyo aya mbona imeandikwa kivingine au hiyo ni satanic Bible au gay Bible?
Umekuwa kama kina Mazinge; unasoma nusu mstari tu, akili inajaa presha, halafu unaanza kusingizia mambo ya 'Biblia ya gay' au 'satanic'. Kwenye ujumbe wako umeandika marejeo ya 1 Wakorintho 6:9-10. Lakini cha kusikitisha, umeamua kwa makusudi au kwa kuruka mstari, kuandika mstari wa 9 pekee na kuacha mstari wa 10 kwa sababu zako unazozijua mwenyewe.
Mstari wa 10 ndipo palipoandikwa: 'wala wezi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji... hawataurithi ufalme wa Mungu.'
Inashangaza kidogo kuona mtu mzima anakosoa andiko ambalo yeye mwenyewe ameliandika namba zake (9-10), lakini akasoma nusu na kuanza kupiga kelele za kupotoshwa. Ulichofanya ni sawa na kusoma magazeti kwa kuangalia picha tu bila kusoma habari yenyewe. Fungua Biblia ya Union Version (SUV) ya kawaida kabisa uone jinsi ulivyojifanya kituko kwa kukataa mstari uliouandika kwa mikono yako. Sina la ziada.
 
Wewe mtaalaamu wa biblia mbona hiyo mistari hukuiweka yote? Unanilaumu Mimi? Kwa nini nifunuwe SUV ??hiyo ndiyo biblia yako unayoiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…