Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #21
Ndio,naijua. Nadhani hujaelewa, nachosema kwa nini dhambi zingine ziwe himilivu ila sio ya kitimoto? Hata huo mfano niliotoa umekushinda kuelewa?Furahisha genge tu.biblia unaijua?
Wasio wahi kuionja wanawezaje kuthibitisha hilo?
Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?Kitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Mbona hata kitabu cha kikristo cha dini nao wamekatazwa bwashee? Nyie mnakula na kujiita wakristo , mnachagua vya kufauta na kuacha?
Huyu mdudu hana uharamu wowote kwa sisi wamatumbi , nikujipendekeza kwetu tu kwenye tamaduni za watu tu.
Ewaaaa hoja nzuri sana. Ukifunika biblia na kuruani, shida yake ni nini?Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?
Tukisema pombe ni haramu naweza kukubali mana pombe inaweza kukupotezea utimamu wa akili na kufanya vitu vya ovyo, sasa em nambie kuhusu uharamu wa kitimoto ni upi?
Umeenda Moja Kwa Moja Kwa waislam kana kwamba ni peke yao waliokatazwaNdio,naijua. Nadhani hujaelewa, nachosema kwa nini dhambi zingine ziwe himilivu ila sio ya kitimoto? Hata huo mfano niliotoa umekushinda kuelewa?
Ukristo una vi loop holes vingi sana vya kuhalisha vitu vingi sana , biblia ipo disorganised mno🤔wanasema paulo kawaruhusu 😁
Akijibu kitu kinachoeleweka najinyonga wima wima 😂Ewaaaa hoja nzuri sana. Ukifunika biblia na kuruani, shida yake ni nini?
Mambo ya agano la kale hayo watu walikua wakienenda kimwili sana kuliko kiroho. Nina bado kuna dini zinaenenda kimwili zaidi kuliko kiroho kama walivyokua Wasadukayo wa agano jipyaKitimoto tukiweka ushabiki wa dini pemben si muslims si Christians bado ni haramu.
Biblia imekataza ulaji wa nguruwe bila kupepesa macho kuna vifungu zaidi ya 30 biblia imekataza nguruwe.
Labda kwenye pombe sidhani hata vifungu 5 vipo ambavyo vimekataza pombe, unakuta mtu anakula mdudu halafu anakataa pombe akidai biblia imekataza
Kitimoto inabidi ipikwe vizuri na iive sawa sawa. Ina minyoo hatari ambayo huwa haifi kirahisi na ukila ambayo haijapikwa vizuri minyoo hiyo ina tabia ya kupanda kichwani na kusababisha kifafa na baadaye kifo.Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?
Tukisema pombe ni haramu naweza kukubali mana pombe inaweza kukupotezea utimamu wa akili na kufanya vitu vya ovyo, sasa em nambie kuhusu uharamu wa kitimoto ni upi?
Pombe inakupoteza utimamu au ulafi wako wa kugida Pombe nyingi ndio unakupotezea utimamu?Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?
Tukisema pombe ni haramu naweza kukubali mana pombe inaweza kukupotezea utimamu wa akili na kufanya vitu vya ovyo, sasa em nambie kuhusu uharamu wa kitimoto ni upi?
Watu wanakunywa pombe na hawafanyi vitu vya ovyo, kuna watu wanakunywa pombe inawapa raha kama vile ww unavyokunywa soda vile .Em tuje kwenye maisha ya kawaida, uharamu wake ni upi?
Tukisema pombe ni haramu naweza kukubali mana pombe inaweza kukupotezea utimamu wa akili na kufanya vitu vya ovyo, sasa em nambie kuhusu uharamu wa kitimoto ni upi?
Umeuliza swali afu hapo hapo umejijibu, kwan kati ya kitimoto kingi na kidogo kipi ni haramu?Pombe inakupoteza utimamu au ulafi wako wa kugida Pombe nyingi ndio unakupotezea utimamu?
Hebu niambie wakati wa kuumba wapi alisema nimeumba wanyama haramuTupe maandiko yanayothibitisha
kuna madaktari wanasema kuna balaa kiafya kama isipoandaliwa vizuriEwaaaa hoja nzuri sana. Ukifunika biblia na kuruani, shida yake ni nini?
Haya torati imeandika usile nguruwe wala mchuzi wake , sasa ebu twende na hili andiko kiroho namna ya kutokula nguruwe wala mchuzi wake kiroho.Mambo ya agano la kale hayo watu walikua wakienenda kimwili sana kuliko kiroho. Nina bado kuna dini zinaenenda kimwili zaidi kuliko kiroho kama walivyokua Wasadukayo wa agano jipya