Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Uharamu wa kitimoto upo kwenye imani ukiondoa imani kitimoto si haramu na unaweza kula utakavyo.
Imani ndo imeharamisha ulaji wa nguruwe pasipo imani unaweza kula hata nyani Au chochote ilimradi kwako unaona ni chakula
Bc kitimoto n haram ukiwa msikitini huko na sio mtaani
 
Waislam na wakristo wote vitabu vyao vimekataza nguruwe, ila cha kushangaza wana gida kama sisi tu
Biblia, agano la jipya Yesu inasema kimtokacho mtu ndo haramu na sio kiingiacho
 
Taja huo uharamu wa kitimoto uko wapi
inategemea wewe upo pande gani mkuu, mtu wa dini au freestyler


mi binafsi nguruwe sili, na sio nguruwe tu nikienda kwa jamaa zangu wamakonde nyani, kima, mbega na kenge sili pia
 
Haya ni maono petro alikua anapewa na mungu ili petro aelewe vizuri ilibidi aletewe mfano mzuri kabisa.
Haya maandiko ukisoma between the lines bado yanapinga ulaji wa nguruwe.

Petro ambaye amekaa na Yesu karibu miaka 3 akijifunza direct kutoka kwake unaona kabisa anakataa kula vilivyo najisi maana amejifunza kutoka kwa yesu mwenyewe.
Petro angeamka na kula direct basi najisi ingekuwa imehalalishwa ila kwanza kwa kukataaa.

Maono haya yaliletwa ili aelewe anapaswa kuhubiri hata kwa watu wasio wayahudi, hili ndo lengo la maono haya.
 
Wengi wao hata hawajui ni kwa nini wanamchukia kitimoto, wanafata mkumbo na kukariri tuu lakini wengi wao ni watumiaji wazuri tuu wa kitimoto
 
hakuna mnyama anayechukiwa, nguruwe ni mnyama kama pundamilia, kobe au mamba yani anastahili kuishi zake porini tu na sio kufugwa na kuliwa
 
Biblia, agano la jipya Yesu inasema kimtokacho mtu ndo haramu na sio kiingiacho
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… , wakristo mnachekesha sana mbona maandiko yenu yanawaambia mwingine akiona ni haramu ni haramu kweli ila inakuaje nyie mnalazimisha waislam waone ni halali?warumi 14 14 17
 
Ni chuki za kupandikizwa tu. Wanakosa chakula kitamu sana.
 
Kesho unakuta wakristo wamejazana kwenye uzi wa wawayudi wa buza na wakati wayahudi hawali nguruwe na wao ni haramu kwaoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Kuna mambo mengi ILA mojawapo
Ukisoma kwenye historia ya Mitume; kuna mahala watoto wa mtaa mzima waligeuzwa wakawa Nguruwe
Ilikuwa ni muujiza ila baadhi ya adhari zake baada ya hapo
Viungo (organs), Tissue nk za nguruwe zikafanana na binadam kuliko mnyama mwingine yeyote; Ikiwemo kuingia period nk. Hivyo ukila Nguruwe (nyama/mbavu) nk utajuwa mwenyewe unacho kula.
Kwa sasa wataalam wana angalia kutumia, moyo wa nguruwe, mbavu, mapafu, ini, tissue nk kupandikiza kwa binadamu kwani vinafanana.
Kwa mafundisho ya Uislam imekatazwa vikali mno!
 
Endelea 17 inasema ni maono halafu nenda kuanzia 28 tafsiri ya maono inatolewa hapo petro anapojibu with wa kornelio ambaye si myahudi bali ni italian , wayahudi na waroma walikua hawachangamani hii ndo maana ya maono na si chakula kama unavyotafsri
 
Kati ya Yesu na Muhammadi ni nani aliye ruhusu ulaji wa nguruwe waziwazi ? Jibu ni Muhammadi...waislamu ni wanafiki na wapumbavu haswa....hao kina shekh mazinge ...shekh kishki shekh ponda...
Shekh shafii mbona wamejazana face buku na youtube ila hapa JF atuwaoni kutetea uislamu wamejificha kwenye vimitandaa vya wauza uchi ila hapa jf wanaogopa kutetea uislamu kwa sababu wanajua tupo watu wenye akili kwa kiwango kikubwa tofauti na huko .... adriz FaizaFoxy Jagina Malaria 2
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… , wakristo mnachekesha sana mbona maandiko yenu yanawaambia mwingine akiona ni haramu ni haramu kweli ila inakuaje nyie mnalazimisha waislam waone ni halali?warumi 14 14 17
Mbona waislam wanaruhusiwa kula wakiwa na njaa?

Ishu n hv, wakristo wanafuata agano jipya hasa injili, agano la kale ni la kufanya marejeo tuu.

Mpaka hapo kuna ugumu kuelewa?
 
niko napata hapa karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…