Elimu yetu haitupi uwezo wa kufikiria sawasawa na kuchambua mambo kwa kuzingatia mantiki. Ungezingatia mantiki na kufikiria sawasawa usingetoa hii comment yako.Ingekuwa huku nilipo kungekuwa na wagonjwa wengi sana wa kifafa. Lakini tangu nihamie,zaidi ya miaka kumi iliyopita sijawahi kuona wala kusikia mgonjwa wa kifafa
Sujui mkuuHao wa buza wanakubali kwamba Yesu ndiye masihi aliyetumwa kwa ajili yao?
Wewe unaishi nao huko au umejikalia zako namtumbo na unaongelea watu wa taifa teule?Hata hao watu wenu wa taifa teule wanachukia kitimoto mbona hamuwalalamikii
Wakristo wana kitabu gani??Mbona hata kitabu cha kikristo cha dini nao wamekatazwa bwashee? Nyie mnakula na kujiita wakristo , mnachagua vya kufauta na kuacha?
Huyu mdudu hana uharamu wowote kwa sisi wamatumbi , nikujipendekeza kwetu tu kwenye tamaduni za watu tu.
Jiulize na kujijibu mwenyeweWakristo wana kitabu gani??
Nakuuliza wewe ili nijue kama unazo hints za unachoandika mkuu,jibu twende.Jiulize na kujijibu mwenyewe
Weka hizo hints hapa kama unazo ,niliacha kuhojiana na walokole kwa chochote.Nakuuliza wewe ili nijue kama unazo hints za unachoandika mkuu,jibu twende.
Naishi naoWewe unaishi nao huko au umejikalia zako namtumbo na unaongelea watu wa taifa teule?
🤣 haramu ya nguruwe ndo kaitilia mkazo sana.Nina kaka yangu ni mlevi mzuri tu, yani anakunywa haswa. Sasa siku moja aliingia bar moja hivi akakuta kwenye hiyo bar kunauzwa kitimoto alitoka mbio hatari, akasema hapa hapafai kabisa wanauza kitimoto.
Sio kweli kabisa, waislamu wengi wanakunywa pombe na wanunuaji wa pombe wakati wa ramadhani unapungua sana sababu wakati wa ramadhani wanaacha kabisa kunywa pombe. Hii ni kweli sikubishii.Lakini Cha ajabu ndiyo walaji wakubwa wa kisirisiri wa kitimoto, angalia trend ya uuzaji wa kitimoto inavyopungua kipindi Cha mfungo
ila tuseme ukweli huyu mnyama namna alivyoumbwa sio wa kuliwa kabisa. hana hata shingo yani mwili wake umekaa hakuna pa kuchinja.
Una akili kweli unaabudia mungu mwenye familia , babu , Bibi, kaka, dada, wajomba mama, marafikiKati ya Yesu na Muhammadi ni nani aliye ruhusu ulaji wa nguruwe waziwazi ? Jibu ni Muhammadi...waislamu ni wanafiki na wapumbavu haswa....hao kina shekh mazinge ...shekh kishki shekh ponda...
Shekh shafii mbona wamejazana face buku na youtube ila hapa JF atuwaoni kutetea uislamu wamejificha kwenye vimitandaa vya wauza uchi ila hapa jf wanaogopa kutetea uislamu kwa sababu wanajua tupo watu wenye akili kwa kiwango kikubwa tofauti na huko .... adriz FaizaFoxy Jagina Malaria 2
Swali la msingi liko hapa.Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Juzi tulikuwa na mjadala nilisema Mungu anaye mke waislamu mkaja mbio kunihoji niwatajie mke wa mungu ni nani ? Najua unakumbuka uzi ukafutwa ....mungu anayo familia na watoto na mke ila Yesu siyo mtoto wa Mungu wala mtoto pekee wa Mungu...Una akili kweli unaabidi Mungu mwenye familia , babu , Bibi, kaka, dada, wajomba
Weka summary mkuu, au external referenceJuzi tulikuwa na mjadala nilisema Mungu anaye mke waislamu mkaja mbio kunihoji niwatajie mke wa mungu ni nani ? Najua unakumbuka uzi ukafutwa ....mungu anayo familia na watoto na mke ila Yesu siyo mtoto wa Mungu wala mtoto pekee wa Mungu...
Namsubiri akuje 😁Weka summary mkuu, au external reference