Hivi kitimoto iliwakosea nini waislamu?!

Kwa ufupi ruhusa imetolewa mkuu au mbona unazunguka 🤣🤣
 
Kwani Yesu " mwana wa Mungu na Mungu aliye hai" alifakamia nguruwe 🐷 hata mara moja?🥱
 
Mashallah kitimoto ni kitamu sana
 

Mkuu, mbona wengine hata bila kuwa kwenye shida nawaona wanagonga ile kitu na kushushia 🍺 🍷 🥂 bila wasi yoyote
 
Wewe vp ? Sindiyo ruhusa hiyo ? Mfano mwanaume na mwanamke wame zuiwa kuingiliana kingono hadi wawe mke na mume...hiyo ni ruhusa tayari
 

Ni wanachama wazuri tu. Ndiyo maana kipindi cha mfungo wa Ramadhani demand inashuka sana
 
Mkuu, mbona wengine hata bila kuwa kwenye shida nawaona wanagonga ile kitu na kushushia 🍺 🍷 🥂 bila wasi yoyote
NI kweli..wanakatazana ili isiadimike..kila mtu akila si tutauziwa kilo moja tsh 50000??
 
Andiko linalosema "Mimi leo nimekuzaa" linapatikana katika Biblia

1. Zaburi 2:7
"Nitatangaza amri ya Bwana; Aliniambia, ‘Wewe ni Mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.’"



Jagina FaizaFoxy Malaria 2 adriz Covax ustadhijuma[/USER
 
Weka hivyo vifungu hapa upate elimu ya dini Acha kusoma biblia ukaitafasiri kama ulivo
 
Sasa kama haramu kwanini aliumbwa, japo mimi nguruwe na bloiler siwashabikii sn.
anyway my thoughts.
Mbona hujulizi kwanini mamba aliumbwa au nyoka au pengine buibui nk na wapo kwenye kundi linalo ua watu wengi tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…