Hivi kiwango cha chini cha GPA ya Diploma ya Ualimu ya kujiunga na University ni ngapi?

Hivi kiwango cha chini cha GPA ya Diploma ya Ualimu ya kujiunga na University ni ngapi?

saligongo

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
300
Reaction score
340
Hivi kiwango cha chini cha GPA ya Diploma ya Ualimu ya kujiunga na University ni GPA ya ngapi? Na je,kama haujaifikia( hiyo GPA) nini cha kufanya ili ujiunge degree?
 
Angalia guidebook ya TCU kwa mwaka huu 2015/2016, utapata majibu yote
 
Back
Top Bottom