Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi najua kizaramo na kikwere lugha moja.Hivi wakuu Wazaramo, wakwere na wadengereko ni jamii moja katika mfanano wa lugha?
Jee lugha yao ni moja au zinafanana?
Nitajie KABILA moja la HALISI TANZANIA ambalo halina NGOMA za ASILIWote waswahili
Wacheza ngoma hao!
Wabwa!
Lugha za kienyeji zote na tamaduni zetu zote zinakufaHivi wakuu Wazaramo, wakwere na wadengereko ni jamii moja katika mfanano wa lugha?
Jee lugha yao ni moja au zinafanana?
Tofauti ni jinsi ya kuipa kipaumbele badala ya kwenda shamba kulima kujipatia Chakula cha kujikimu na akiba kwa Mwaka mzima.Nitajie KABILA moja la HALISI TANZANIA ambalo halina NGOMA za ASILI
Naijua utasema WAMASAI Ila hao nfdo wanagoma nzuri na wanacheza Kwa ustad balabala
Nasubiri jibu
Hapo nimekusomaWakwere zamani walikuwa akijiita wazigua , hawakuwa na ujasiri wa kukubali kuwa wao ni wakwere sababu ya ubwa [emoji108]
Alipokuja Jakaya kuwa Rais wa JMT ndipo Sasa walau wakaanza kujitambulisha kama wakwere.
Lakini kabla ya hapo walikuwa wakijificha kwenye uzigua sababu ya ujirani kidogo kwa mbali.