Tushukuru mungu waafrika AI imekuja kabla lugha zetu hazijafa. SERIKALI ZA KIAFRIKA zimeshindwa kuhifadhi lugha zetu wakati wanakusanya kodi. Wameshindwa kuweka kitengo cha kuhifadhi lugha. Baadhi ya makabila wameandika lugha zao ila si kisomi.
AI ya wazungu wamekumbuka kuweka lugha za asili, baadhi ya lugha hazijaingia kwenye AI kama Google bard na ChatGPT.
Nimekiona kilingala, kinyakyusa, kisukuma.
HUMU KUNA WATU HUJITUKANA KUWA MIAFRIKA NI MIJITU ISIOKUWA NA AKILI. Muda mwingine unaweza amini, mpaka leo tangu uhuru Viongozi wa KIAFRIKA wamezisagia kunguni lugha za mababu zao.