Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Uza nyumba, chukua hela sepa. Waache KKKT waendelee kuleta maendeleoMmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa wwumini wsnapata hewa ya kutosha kweli?
Askofu wa K.K.K.T Kimara Korogwe na jopo la washauri wako kwani lazima miradi yote iwepo kwenye hako kaeneo?
Sio kwa ubaya kaka ila pale pamekuwa pa hovyo sana, pamebanwa mnoUza nyumba, chukua hela sepa. Waache KKKT waendelee kuleta maendeleo
Viongozi watakula wapiMmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa waumini wnapata hewa ya kutosha kweli wakati wa ibada?
Askofu wa K.K.K.T Kimara Korogwe na jopo la washauri wako kwani lazima miradi yote iwepo kwenye hako kaeneo?
Na wanawakamua michango waumini wao sio poa hizi dini hizi🙌Viongozi watakula wapi
Wafalme pub ya Yuda, maarufu kwa kitimotoMakanisa mengi ya KKKT huwa hayaishagi. Hilo la Korogwe tangu 2003 naishi jirani na Wafalme Pub linajengwa tu
Ni sahihi maana mpaka leo jengo la kanisa miaka 23 bado halijakamilikaMakanisa mengi ya KKKT huwa hayaishagi. Hilo la Korogwe tangu 2003 naishi jirani na Wafalme Pub linajengwa tu
Wana CV nzuri tu kwenye makaratasi lakini kwenye utendaji wengine ni sifuriZamani wakat mdogo nilijuaga wachungaji,maaskofu and the like viongoizi wa dini wana akili sana.
Yeah sahihi napakumbuka Korogwe enzi za ukumbi wa Ruaha Galaxy, wasanii wakubwa wa miaka hiyo ya 90s walikuwa wanaenda kupiga shows paleWafalme pub ya Yuda, maarufu kwa kitimoto
KItambo sana pale, sahizi ipo Sports Lounge hata haibambi kiviiile. Home pale chini. Gorofa la Thomas Bucha limechoka balaaWafalme pub ya Yuda, maarufu kwa kitimoto
Viongozi wakale wapi?Makanisa mengi ya KKKT huwa hayaishagi. Hilo la Korogwe tangu 2003 naishi jirani na Wafalme Pub linajengwa tu
Sports Lounge ilianza kwa kishindo mwanzoni sasa hivi imetepeta. Sijajua yule wa liquor store anaendeleaje?KItambo sana pale, sahizi ipo Sports Lounge hata haibambi kiviiile. Home pale chini. Gorofa la Thomas Bucha limechoka balaa
Umesema vyemaviongozi wa kidini ya kikristo ila yapasa wakumbuke walitumwa kujenga roho za watu na siyo majengo ya miradi.Wawe wangalifu majengo hayatatupeleka uzimani