Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #21
Oyaa hawaeleweki kila kona ghorofa hazijakamilika magofuSisi wengine 20x20 tukipata na pakujenga vyoo viwili tumemaliza,hizo ghorofa wao za nini wanataka kufungua hotel au?
Umechambua kitaalamuViongozi wakale wapi?
Askofu anataka mgawo.
Mchungaji macho kuona
Muhasibu naye ale hapo.
Wazee wa kamati za ujenzi au miradi nao wale macho kuona.
Pale kila mtu anataka ku-supply kitu au achomekee jina la nduguye fundi au muuzaji wa construction material. Hao niliowataja kuna wenye hardware, n.k.
ALIEKUTUMAMmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa waumini wanapata hewa ya kutosha kweli wakati wa ibada?
Askofu wa K.K.K.T Kimara Korogwe na jopo la washauri wako kwani lazima miradi yote iwepo kwenye hako kaeneo?
Basi pale Korogwe wanapigwaLabda ni hilo tu, ila kiuhalisia KKKT wana Majengo na miradi mingi sana iliyokamilika hapa nchini.
Hali yenu ya kiroho mbaya kutwa kuchangushwa michango ya kujenga majengo yasiyoishaALIEKUTUMA
MPE POLE
.YAAN FEB KUNA MRADI MWINGINE KULE MBELE UNAKUJA KANSAN AMA UNAKUJA KUPARK
Kujenga majengo yasiyo ya ibada ni kazi ya Mungu? Kanisa limechoka mna dharau sana nyie jamaaWACHA KAZI ZA MUNGU ZIENDELEEEEE
Eneo la kanisa lilikuwa dogo sana, mkamwamisha bi mzungu na jirani zake ili mjenge magofu. Sadaka zinakusanywa ujenzi hauishiKKALIZE.MAKAO WALICHOKUTANA NACHO
WAUMINI HATUTAKI MATAPELI WACH TUNATAKA KUONA PESA ZETU ZINAFANYA KAZI...HILO ENEO UNAJUA LIMEKAA MIAKA MINGAPI BILA KUFANYIWA UWEKEZEAJI WOWOTE WA KANISA NA SADAKA WAUMINI WALEWALEEEE...
PADT WETU MWACHE AENDELEE KUWEKA MIRADI ANAYOTAKA UKITAKA UNARUHUSIWA PALE PIA KUPANGISHA HATUNA UDINI MKUU
Sio 2003 Miaka Ya90 Pale Mbele kulikuwa Na Kanisa Dogo Walivyoanza Wajasimama Mpaka LeoNione
Hapo Ndio Naona Shida Kanisa limechoka Na Dogo Ila Wao Wanapambana Na Majengo MapyaKujenga majengo yasiyo ya ibada ni kazi ya Mungu? Kanisa limechoka mna dharau sana nyie jamaa
SahihiSio 2003 Miaka Ya90 Pale Mbele kulikuwa Na Kanisa Dogo Walivyoanza Wajasimama Mpaka Leo
Owner wa Ruaha Galaxy, John Ngogo yule mtu alikuwa ana fedhaYeah sahihi napakumbuka Korogwe enzi za ukumbi wa Ruaha Galaxy, wasanii wakubwa wa miaka hiyo ya 90s walikuwa wanaenda kupiga shows pale
Thomas Lyimo baada ya kutengeza bomu la kulipua ubalozi wa USA, na kukaa ndani siku 14 hakuwahi kurudi kwenye hali yake.KItambo sana pale, sahizi ipo Sports Lounge hata haibambi kiviiile. Home pale chini. Gorofa la Thomas Bucha limechoka balaa
Sahihi kwa maana ilikuwa moja ya kumbi zilizotikisa Dar. Bado yupo?Owner wa Ruaha Galaxy, John Ngogo yule mtu alikuwa ana fedha
Nani hao mkuu?Ndiyo maana wenzao wakaingia mkataba na serikali wa kunyonya hazina,kitegemea za waumini ngumu kutoboa
Lile bomu lilimwathiri sana kiuchumi. Sema nini ile gereji ilikuwa ya kisasa sana aisee.Thomas Lyimo baada ya kutengeza bomu la kulipua ubalozi wa USA, na kukaa ndani siku 14 hakuwahi kurudi kwenye hali yake.
Kwa hiyo waumini wa KKKT Korogwe mibaraka shindili?Toa Ndugu Toa
Ubarikiwe