vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Yaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji usiku naichukia sana, sio jambo fair kwa mashabiki waliokuwa na haki ya kupata taarifa juu timu yake kuhusu usajili.
Tabia hii ya kipuuzi walikuwa nayo Yanga na Simba nao wakaiga kwa siku hizi mbili. Ya nini kuwaweka watu attention hadi saa tano saa sita za usiku?
Tabia hii ya kipuuzi walikuwa nayo Yanga na Simba nao wakaiga kwa siku hizi mbili. Ya nini kuwaweka watu attention hadi saa tano saa sita za usiku?