Aisee, hii imenifanya nicheke peke yangu hakika.Si ulale tu mkuu. Lala tu chochote watakachosema usiku huo si utakisikia tu asubuhi ukiamka
Hakuna zawadi kwa anaesikia wa kwanza mkuu
Maisha sio magumu hivyo
Beki bovu linatangazwaNasibiri kwa hamu usajili wa Pan African
KAMA UMEWAHI SIKIA MTU ANAITWA SHAKUNAKU BASI NDIO WEWEYaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji...
Watanzania kwa ujuaji kwakweli yaani hapo mwenyewe umejifanya kama umestaarabika mno sasa hebu nikuambie kitu kwenye mambo ya soka dunia mzima mashabiki wanafanana tabia kwahiyo sio bongo tu hata huko ulaya unakojifananisha nako hali ni hii tu unayoiona hapa bongoWashabiki ndio hamnazo! kutwa kubishana mambo ya kipuuzi! ujinga huu ndio mtaji wa hizi timu 2...
Kwamba wewe unafanana tabia na mashabiki wa ulaya!?Watanzania kwa ujuaji kwakweli yaani hapo mwenyewe umejifanya kama umestaarabika mno sasa hebu nikuambie kitu kwenye mambo ya soka dunia mzima mashabiki wanafanana tabia kwahiyo sio bongo tu hata huko ulaya unakojifananisha nako hali ni hii tu unayoiona hapa bongo
Huko ni hatari, ulaya mpira ndo umeshika kasi zaidi. Huko America ndo kabisa hakushikiki kwa mpira, kuna mwaka derby ya Argentina ikabidi ipigwe Bernabeu baada ya kuona watu wanakufa uwanjani.Kwamba wewe unafanana tabia na mashabiki wa ulaya!?
Unadhani wale wanaendeshwa kama mnavyoendeshwa na kudangwanyaa kila siku.
Kudanganywa kupoje na nitajie wapi yanga walipodanganyaKwamba wewe unafanana tabia na mashabiki wa ulaya!?
Unadhani wale wanaendeshwa kama mnavyoendeshwa na kudangwanyaa kila siku.