Hivi Kocha Sven Vandebroek aliondoka Simba SC Mwenyewe au Alifukuzwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
 
Hakufukuzwa Simba yule, aliondoka kwa kusema ana ishu za kifamilia akavunja mkataba, ila alikua amepata dili kubwa zaidi. Kilichomtoa pale Simba ni uswahili swahili wa uongozi. Kama unakumbuka alipoondoka, kuna maneno aliyasema sana ambayo yalionyesha wazi kuna kitu hakipo sawa kwenye uongozi. Jamaa ni kati ya makocha bora kabisa Africa.
 
Simba kwanzia bechi la ufundi:
Viongozi:
Mpaka mashabiki wote hamna akili
Mpaka wewe
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
ALIPATA Ofa nzuri mno Morocco.
FAR RABART.

MSHAHARA wake ulikuwa Unaingia mara Tano ya Mshahara simba.

Kuna offa zinakuja kwa MAKOCHA WA Simba Hadi uongozi unaona aibu kupinga.

SVEN ALIVUNJA MKATABA KWASABABU YA OFA NZURI YA FAR RABART.
 
Kwa jinsi alivyoondoka hazikuwa issue za ofa , kama ni ofa huwa unajulikana wazi kwamba kocha anaenda timu Fulani na amevunja mkataba , huyo kocha aliondoka sababu ya uswahili wa timu , utumuaji wa mbinu za kishirikina, mara abebe matunguli, mara asinywe maji wakat wa mechi , mara kumlaza kwenye migomba , mara akachanjwe chare , sjui aende Kwa mganga usku wa manane ...yaan taabu tupu za Kiswahili
 
Chai
 
Swala LA sven na simba ilikuwa malengo ndio jambo kubwa malengo kivip?

Simba walimtaka seven aifikishe robo fainaly, mkataba unge koma kama asinge fika robo, kwa simba ile na group lile ni wazi mambo yalikuwa magumu na mazito, licha ya kukubari majukumu hayo Lakin ilikuwa ngumu Sana kwa simba kupenya kufika robo hivyo jamaa ikabid atafute mbadala kama iki tokea amefel kufika malengo awe na sehem ya kwenda,

Sasa Ata alipo fanikiwa ikawa Tena ngumu kwake kwakuwa alipata sehem nyingine ambayo Ina kaslah Mazur tuu na huku kafanikiwa KUTIMIZA lengo
 
Kwa jinsi alivyoondoka hazikuwa issue za ofa , kama ni ofa huwa unajulikana wazi kwamba kocha anaenda timu Fulani na amevunja mkataba , huyo kocha aliondoka sababu ya uswahili wa timu , utumuaji wa mbinu za kishirikina, mara abebe matunguli, mara asinywe maji wakat wa mechi , mara kumlaza kwenye migomba , mara akachanjwe chare , sjui aende Kwa mganga usku wa manane ...yaan taabu tupu za Kiswahili
Hili nililisikia
 
Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
Aina ya wachezaji wydad inatofautiana na aina ya wachezaji wa simba

mfumo wake uligoma simba ukafaulu wydad
 
Kwa jinsi alivyoondoka hazikuwa issue za ofa , kama ni ofa huwa unajulikana wazi kwamba kocha anaenda timu Fulani na amevunja mkataba , huyo kocha aliondoka sababu ya uswahili wa timu , utumuaji wa mbinu za kishirikina, mara abebe matunguli, mara asinywe maji wakat wa mechi , mara kumlaza kwenye migomba , mara akachanjwe chare , sjui aende Kwa mganga usku wa manane ...yaan taabu tupu za Kiswahili
Magroup ya WhatsApp ya yanga ni majanga!Fikiria mtu kama huyu ana mme na watoto lakini ameaminishwa ujinga huu na ameuleta hapa
 
Back
Top Bottom