Hivi konde boy kile kiitikio cha "jeshiii" umepata kuelewa

Hivi konde boy kile kiitikio cha "jeshiii" umepata kuelewa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii".

Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili.

Kuna kipande Fulani yesu akiwa na wanafunzi wake kikimuonesha anamtoa mapepo chizi mmoja kuulizwa wewe ni nani ? Na yeye akasema kuwa ni "jeshiiii".
Na kuamuliwa yaelekee kwenye nguruwe.

Sasa ni kawa nakumkumbuka konde boy na vituko vyake.maana mapepo ya jeshi Yana mpelekesha.
 
Una umri kiasi cha kutazama na kuchukulia siriazi hiyo filamu uchwara?
 
Back
Top Bottom