Jana nikiwa njiani kutoka kazini. Nilipanda bus pale magomeni.
Tulipofika kinondoni mkwajuni aliingia mdada mtanashati kwenye bus na kuketi nami.
Kwa kuwa nilikuwa nikila korosho sikuwa na budi kumkaribisha, yule dada akanishukuru lakini akaniomba radhi na kuniambia yeye huwa ana allergy na korosho.
Basi tukaendelea kupiga story za kawaida, mpaka tunafika mwenge tayari nilikuwa na namba yake ya simu.
Na sababu ya kuchukua namba yake ni yeye mwenyewe kwa kauli na utafiti wake aje kunithibitishia ni lini na nani alimwambia korosho zinaleta allergy. Yatakayojiri nitarudi kuwajuza.
Ni hayo tu wadau.