Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
anakuita dad xernHiyo ni generation alpha lol,
Nina kijana wangu ndio zake hizo, huwa simjibu nampigia simu kama sio muhimu nakausha!
Naeza tupa cm 🤦🏽♀️anakuita dad xern
kuhusu kutumia X ni upunguani l, ndiyo.Ni watu wasiojitambuwa.
Kuwasiliana na boda akuletee kitu inatakowa uwe na umri gani?Hizo massage hazina shida kabisa ila at ur age inakuaje unawasiliana vijana wadogo kiasi hicho!
Fupisha uwezavyo but make it understandable and. Meaningfulkuhusu kutumia X ni upunguani l, ndiyo.
ipa kutoa baadhi ya herufi kwenye neno, hiyo ndo dhana nzima ya SMS(short message service), sio maksudi inafanyika hivyo ili kupunguza ukali wa SMS kuwa ndefu na kuSave bill.
Una binti wa kazI?Hiyo ni lugha rasmi ya vitoto..
Kwamba una ukaribu na vitoto vya 2010
Sijui umri wako, lakini kama unaweza kuingia jf na kushea mijadala epuka ukaribu na vitoto.
Sasa kama unajua ni boda na unajua why do you shocked .Kuwasiliana na boda akuletee kitu inatakowa uwe na umri gani?