Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Sawa mkuu ko niunataka kuwa consultant wa field ipi? sajili kampuni brela, pata leseni, tin no ofisi na furniture wafanyakazi kama utahitaji unaanza kutafuta kazi
karibu sana tupo kwa muda sasa zipo changamoto lakini usiogope selikali utagombana nao tu utake usitake ni swala la muda tu kwa kuwa kunawakati unaweza kuwa hupati kazi za maana hivyo unajikuta unashindwa kulipa gharama halisi za serikali kwa kuwa sio muda wote unapata kazi na kibaya zaidi watanzania wengi hawajui jinsi ya kutumia ushauri katika kufanikisha yakwao.Sawa mkuu ko ni
1) brela
2) tin
3) leseni ya manispaa ya biashra
4) ofisi
5) value creation... asante mkuu nlidhani kuna mambo ya vibali maana mi sitaki kabisa shida na serikali sahivi. ni consultant kwenye issues related to biashra, finance, investment and all that.