Nadhani si sahihi kuichukulia cheating kwa maana ya ku Do tu kwani hata ku Do nayo ni mchakato. Kwa hiyo hata cheating nayo ni mchakato ambao unaanzia kwa mawasiliano ya karibu, kuchat sana, kutoka out sana na kufanya mambo mengine mengi kama hayo hususan bila mwenza wako kujua.Hata elfu kumi inaitwa hivyo kwa sababu ndani yake kuna elfu moja moja kumi. Vitu kama hivi hukufanya upunguze muda wa kuwa karibu na mpenzi wako na hatimaye mtajikuta mnaingia kwenye mapenzi na yule mtu mwingine. Mtu ambaye unatakiwa kutumia naye muda wako mwingi ni mpenzi wako na sio wengine, kwa mtazamo wangu.
lakini hata uki Do bila kufanya mambo mengine kabla ya ku Do nayo ni cheating tu.