Barbie Maliposa
Senior Member
- Feb 9, 2011
- 153
- 19
Barbie,kwa mtizamo wangu hata kutoka out na kuchat na kwa malengo ya ku-cheat huko ni ku-cheat katika hatua za awali.....lile tendo linakamilisha hayo yanayojengwa huko out na kwenye chat........:rain:
Kwanza kabisa huyo uliye nae huwezi kushauriana nae unayo shauriana na X?Nwyz sio vibaya kama humsaliti mpnz wako!Ila ingekua vizuri kujua ili hata siku akiwakuta pamoja asilete zogo!mimi na mpenzi wangu wa zamani bado tunachat sana hata kutoka siku moja moja tunatoka kupara moja baridi moto ila mpenz wangu akijua hapendi na nampenda sana mpenzi wangu,ila huyu wa zamani ni social na kuna mambo huwa tunashauriana ya kimaendeleo but siyo ngono hapo kuna ubaya?
Kwanza kabisa huyo uliye nae huwezi kushauriana nae unayo shauriana na X?Nwyz sio vibaya kama humsaliti mpnz wako!Ila ingekua vizuri kujua ili hata siku akiwakuta pamoja asilete zogo!
mpenzi wangu ni mtata sana namjua nikimwabia hata ni elewa
Barbie,kwa mtizamo wangu hata kutoka out na kuchat na kwa malengo ya ku-cheat huko ni ku-cheat katika hatua za awali.....lile tendo linakamilisha hayo yanayojengwa huko out na kwenye chat........:rain:
Kwani uwezo wa kushauriana hana?Hapo hata asipohisi unacheat bado atajiskia vibaya kwamba unashauriana na mwanamke mwenzake wakati yeye yupo!
Aiseee.....basi mi ntakuwa nimemcheat sana my waifu wangu!
mimi na mpenzi wangu wa zamani bado tunachat sana hata kutoka siku moja moja tunatoka kupara moja baridi moto ila mpenzo wangu akijua hapendi na nampenda sana mpenzi wangu, ila huyu wa zamani ni social na kuna mambo huwa tunashauriana ya kimaendeleo but siyo ngono hapo kuna ubaya?
noted!Nadhani si sahihi kuichukulia cheating kwa maana ya ku Do tu kwani hata ku Do nayo ni mchakato. Kwa hiyo hata cheating nayo ni mchakato ambao unaanzia kwa mawasiliano ya karibu, kuchat sana, kutoka out sana na kufanya mambo mengine mengi kama hayo hususan bila mwenza wako kujua.Hata elfu kumi inaitwa hivyo kwa sababu ndani yake kuna elfu moja moja kumi. Vitu kama hivi hukufanya upunguze muda wa kuwa karibu na mpenzi wako na hatimaye mtajikuta mnaingia kwenye mapenzi na yule mtu mwingine. Mtu ambaye unatakiwa kutumia naye muda wako mwingi ni mpenzi wako na sio wengine, kwa mtazamo wangu.
lakini hata uki Do bila kufanya mambo mengine kabla ya ku Do nayo ni cheating tu.