ukiwa mnene kukonda ni mzikii mzitooTutoleane ushuhuda hapa wadau kutokana na mazingira yanayotuzunguka maana nimeshuhudia watu wengi wakilalamika muda mrefu kuhusu mambo hayo,Huyu"Anatafuta wembamba muda mrefu haupati huyu anatafuta unene haupati"
Modo in real life...[emoji28][emoji28]Muulize erick omondi
Inategemea ntu na ntu
Stress zinamkondesha mtu..
Kuridhika kimaisha kunamnenepesha mtu na sio mlo...