Chabo unayoijua tu watu wamo ndani usiku halafu unachungulia na camera unarekodi, kuna kesi hiyo jamaa ampigwa miezi 6 halafu unasema sio kosa kivip jibu kisheria sio unakulupuka tu kasome sec.138A. Cap 16 Halafu unipe majibu
kichekesho sec 138A Cap 16 ni ya Ndoa, jinai, ardhi au Katiba
mm nimekuta upenyo hujaziba nikaangalia kwa mbinu zangu UTANIFUNGAJE
km nimerekodi na kusambaza kamata wote wanaoangalia
lkn kuona tu hakuna kifungo cha kuchabo
unachotakiwa ziba kuta zote, au weka kibao mbwa mkali
huyo aliyefungwa weka uthibitisho tuipitie hiyo hukumu