Hivi kumbe centipede yupo hivi?

wako class moko na millipede(jongoo), anang'ata , ila tiba yake kama kawa, kitunguu swaumu ku neutralize sumu
 
Yaani ni bora umesema mkuu..huyu jamaa kuingia ndani hachagui..unaweza ukawa msafi kuliko ndani lakini akatoka kwenye mashimo yake akaja kwako
hao tandu hawakai kwenye uchafu watu wanashindwa kuelewa...

tandu anakaa kwenye mashimo yaliyo ardhini na kwenye majani kwa hyo hata kama kwako una garden na mauwa mengi ujue tandu anaweza kukaa...

sasa kipindi cha mvua makazi yao yanaingia maji katika kutafuta sehemu kavu na joto ndio wanaingia ndani
 
Asante kwa hili
 
Utotoni nilisikiaga kuwa uking'atwa na Tangu dawa yake ni maziwa ya mbwa. Sijui kama kuna ukweli wowote au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…