hao tandu hawakai kwenye uchafu watu wanashindwa kuelewa...
tandu anakaa kwenye mashimo yaliyo ardhini na kwenye majani kwa hyo hata kama kwako una garden na mauwa mengi ujue tandu anaweza kukaa...
sasa kipindi cha mvua makazi yao yanaingia maji katika kutafuta sehemu kavu na joto ndio wanaingia ndani
Umeeza ku google picha za uyo mdudu, kwa nn usi google na madhara yake.[emoji41]Umeme umekatika.. Nlikua nasomasoma jf ghafla nahisi kitu mguuni akapenya anaingia ndani ya suruali.. Kama sio kujikunguta kwa nguvu sijui ingekuaje
Ana spidi kali
Hapa nkiguswa na mu naruka
Na je ikiwa atakung'ata ana sumu? Madhara yake?
Anaitwa centipede kwa kiingreza
Kiswahili tunamwita tanduView attachment 969232
Hahahaha...ingekua kasheshe la karneSipati picha angeingia,, pol mwaya[emoji23][emoji23]
Ndege wafananao huruka pamoja.watanzania washamba ndio hawa hapa.....
huko masaki na oystebay kwenyewe mvua ikinyesha tu hao tandu wanakuwepo na kama mlango hujaweka zile rubber chini unaweza kukutana nao ndani
nimetolea mfano wa masaki na oysterbay maana ndio sehemu mnazoziona safi