Hivi kumbe Jerusalem kuna waafrika wazawa...

Yup Jerusalem kuna weusi wazawa kama ambavyo hata tanzania kuna wahindi, waarabu na hata wazungu wazawa.
 
wafrika kila kila mahali wapo katika Dunia hii ila tu hatupewi haki zetu tunanyanyaswa sana tofauti na wenzetu watu weupe wakija kwetu afrika tunawapokea kwa mikono miwili.

MziziMkavu, Naomba kuqualify statement yako kuwa nchini Argentina hakuna waafrika.
 
Yeah hawa wako wengi, miaka ya nyuma kuna ile operation (nimesahau jina) ilikwua carried kuwarescue na kuwarudisha Israel.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…