Hivi kumbe Kuna wanawake warefu hivi

Huyu mwanamke ni mrefu hatari aisee kweli dunia inamaajabu tena ni mrefu halafu mtu wamazozezi apa ukiwa kijeba hamuendani
Huyo MWANAMKE ni Mganda na kaka yake Blade ni body builders, sio mrefu kama ionekenavyo kwenye picha picha hiyo imepigwa yeye akiwa karibu ya camera huku Blade a.k.a Grandson na Kenny cocha wa mazoezi kutokea Afrika Kusini wakiwa mbali nyuma

Hii hapa picha ya kipande cha video wakitembea mtaani wakiwa sambamba je MWANAMKE huyo anaonekana ni mrefu kuliko Blade ?!
 
Unashangaa urefu, hushangai haya?
Nuhu (Noah)

Nuhu aliishi miaka 950 kulingana na Biblia (Mwanzo 9:29) na Kurani. Alijulikana kwa uvumilivu wake na jukumu la kujenga Safina ya Nuhu kuokoa wanadamu na wanyama kutoka kwenye gharika kubwa.



2. Adam

Adam, baba wa wanadamu wote, alisemekana kuishi miaka 930 kulingana na Biblia (Mwanzo 5:5).



3. Methusela (Methuselah)

Methusela alikuwa mjukuu wa Henoko na babu wa Nuhu. Alitajwa kuishi miaka 969 kulingana na Biblia (Mwanzo 5:27), na ndiye mtu aliyeishi muda mrefu zaidi.

Allah akbar
 
Na je vipi Hezbulah wewe na FaizaFoxy mkipanua mabakuli mkituanvia Wayahudi watapigwa wachakae vipi mbona hautupi updates, na houth umesikia walivyofinywa vipi kuhusu Syria ?!
 
Nuhu ameishi miaka isiyopungua elfu na kitu
(Ile inayotajwa kwenye quran tukufu siyo miaka ya umri wake bali miaka ya utumishi wake)

Wallaahu a'alam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…