Hivi kumbe wanaume nao huwa wanalia?????

ataka kaukweli flani,,usiwe mkali na wewe acha niwe muazi tutokomeze ukimwi..ningebandika si yangu tena ya utupu si angetaman alafu akenda kunanihii tungekua tushampoteza...they say think before u do,,,,
achunguza kwani ataka nini huyo,hebu muulize na mwambie apunguze spid kidogo
 
mama gaude wangu umesikia mambo hayo eeeeh..usije niliza mtoto wa kihehe mie ,nimgaya sida beeh
 
mama gaude wangu umesikia mambo haya eeeh ...usije nitoa machozi mie mtoto wa kihehe.Ningaya sida beeeh
 
u mrembo bidada!
sifa kwa aliyekuumba!:A S crown-1:
 
Ukimuona ndo utastaajaabu zaidi mie nawachukia wanaume lakini kwa hili huyu mwanamke kaniboa aisee halafu ana majeuri sijuii aa hhh

duu makubwa haya,sasa wawachukia wanaume kisa gani?

kwa maelezo ya text yako huyo mama ni kwamba hana hata chembe iliyobaki ya mampenzi kwa huyo mumewe,jeuri na dharau zote hizo!
 
duu makubwa haya,sasa wawachukia wanaume kisa gani?

kwa maelezo ya text yako huyo mama ni kwamba hana hata chembe iliyobaki ya mampenzi kwa huyo mumewe,jeuri na dharau zote hizo!

Mie kwa vile namfahamu naona ni umalaya na ulimbukeni unamsumbua kapata bwana mwenye pesa kawehuka huu ni ushamba, kama mumeo hana kitu kaa naye si ulishakubali toka mwanzao sasa kuruka kuruka ya nini zaizi na uzee huu jamani aakkkhhh mie aaaahhk
 
duu makubwa haya,sasa wawachukia wanaume kisa gani?

kwa maelezo ya text yako huyo mama ni kwamba hana hata chembe iliyobaki ya mampenzi kwa huyo mumewe,jeuri na dharau zote hizo!

Nawachukia kwa mambo yao lakini kwa hili huyu mwanamke kazidisha cheusi mmhhh hapana aisee
 
Namshangaa huyu mwanamke mwenzetu na tabia zake hizi lol hana haya hata kidogo
 
mnh...mwambie huyo mwanaume atafute nyumba ndogo..
tuone kama huyo mwanamke hatatia akili????

ahame akaanze maisha mapya somewhere...,
asihesabu huyo mwanamke kamtia hasara kiasi gani.,
akiendelea kukaa hapo huyo mwanamke atamletea ugonjwa ndani,
hakuna kitu expensive kama UHAI!
 
tatizo ni huyo jamaa anaelia hamjui Hassan Rehani.........
 
Yalaaa! Mwenzio dhohofu kabisa.
 
Mwambie anitafute kwa njia yeyote atakayoweza nimpe "mbinu za kijeshi" hatokaa akamlilia mwanamke katu.
nilihisi tu utakuwa wa kurekure bila hata kuangaria jina niripokuja kuona jina mmmh ndo mana umemkomment namna kweri akija kwako razima aondoke na mbinu za kijeshi.
 
ataka kaukweli flani,,usiwe mkali na wewe acha niwe muazi tutokomeze ukimwi..ningebandika si yangu tena ya utupu si angetaman alafu akenda kunanihii tungekua tushampoteza...they say think before u do,,,,
kwahiyo nilham hiyo ni sura yako halisi hasa?
 
Ukimuona ndo utastaajaabu zaidi mie nawachukia wanaume lakini kwa hili huyu mwanamke kaniboa aisee halafu ana majeuri sijuii aa hhh

me too dena hawa viumbe wana maudhi sana ila huyu baba atia huruma mwe. Sa si aendelee tu na maisha na yeye wanaume huwa wanajikaza hata akifiwa au uyo ni manaume suruale nini mapenzi gani ya kulia na utu uzima huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…