Hivi kumbe wanaume nao huwa wanalia?????

me too dena hawa viumbe wana maudhi sana ila huyu baba atia huruma mwe. Sa si aendelee tu na maisha na yeye wanaume huwa wanajikaza hata akifiwa au uyo ni manaume suruale nini mapenzi gani ya kulia na utu uzima huu

Shosti hujambo??? Upo? Mie mzima. Radio mbao zinasema karogwa kwa imani zao jamaa haongei dear yaani huruma saa hizi kanipigia anasema nikitoka ofisi nikamuone. Nitakwenda
 
Bujibuji wimbo huo ilikuwa na maana kubwa sana. Tatizo linakuja pale unapopenda pasipo kusikiliza maneno ya wakubwa walioliona jua mapema.
:redfaces:.
Ukiumwa na nyoka.................
 
Shosti hujambo??? Upo? Mie mzima. Radio mbao zinasema karogwa kwa imani zao jamaa haongei dear yaani huruma saa hizi kanipigia anasema nikitoka ofisi nikamuone. Nitakwenda

nipo mpenzi mzima wewe hizo radio mbao yawezekana za kweli haiwezekani mbaba kabisa alie mwe nenda kamuone mwaya anatia huruma sana baba wa watu (ila umeniuzi kwenye mafataki kule lol mi roho yaniuma nikiwaza mtu anifatakie mwanangu)
 

....reading between the lines, LOL! ...huyo jamaa ni mjanja sana aisee, duuuh!!! ha ha ha!


...kufa kufaana!
 
mwanaume kulia kitu cha kawida sana kwani si binadam pia jamani????we tena mwanamme alia vibaya mpaka apiga magoti utasema kaambiwa nakua leo...hahahhhaaa but makes me sad too
Karibu mjengoni..........imekuwaje sijakuona hadi leo hii?? Au we mtazamaji tu humu?
 
Hivi eeh....cheki PM yako....
 

Basi mie nikafikiri jamaa kadundwe . Haya mambo yapo sana tu mbona ila sema tu wanaume huwa wanaona noma kulia hadharani....... Hapo jamaa akigeuza kibao akachukua mtoto mdogo m wingine afu mama
aende TAMWA baba ataambiwa kakosea........ Wanasema mkubwa ni jalala!!
 
Akithubutu tu anapelwkwa TAMWA...........hahahhhhhh
 
Asante,ila huyo kwenye picha sio mie:embarrassed::embarrassed:
Fab........... unajikana mwenyewe! au ulukuwa unamaani hii ni ya zamani?
 
Fab........... unajikana mwenyewe! au ulukuwa unamaani hii ni ya zamani?

huyo sio mimi na wala hafananii na mie,,,:target:
nimeiba picha kutoka kny mtandao mmoja wa west africa....sssshhhh siri yako,usimwambie mtu lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…