Hivi kumbe yupo hivi?

Haya Ma filter yanadanganya Sana Mi kuna siku nilimuona Yule lulu live live.. Nikasema haya udambwi udambwi yakifala sana. Ila huyo Irene Ni anamvuto kiukwel hata nje ya Ma filter
Mimi nilisoma naye Elizabeth(lulu) ni mtu wa kawaida sana tena kafupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…