Hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafiki tu?

Hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafiki tu?

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
145
Reaction score
293
Jamii Forum, mahusiano, hivi kumuomba msamaha mpenzi wako wakati hujamkosea ni sawa au ni unafki tu?

Hii haihusiani na maisha yangu acheni umbea sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Tuelemishane sasa[emoji1370][emoji1370][emoji1370]
 
Hii haihusiani na maisha yangu acheni umbea sasa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Usitufokee sasa
 
CHANGANYA MATAKO ILI MAVI YASIGANDE .......

Hadi unaomba msamaha maana yake tayari Unakosa.....[emoji779][emoji779][emoji779]

NB: Kama huna kosa huo msamaha unaombea nini sasa???[emoji780][emoji780]

MSAMAHA HUOMBWA PALIPO NA KOSA .
 
Kwanin uanze kuomba msamaha pasipo kosa? Ni unafiki ndyo hamn lolote.
 
Mwanaume ukifabya hivyo jua upo hatua ya kwisho kuelekea kuwa ngedere
 
Back
Top Bottom