Hivi kuna aina ngapi za ICU katika Hospitali nyingi na kubwa duniani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je ukiwa ICU....
  1. Unaruhusiwa kuonana na Watu mara kwa mara?
  2. Unaruhusiwa kupiga stori za Kufikirisha na Watu?
  3. Unaruhusiwa kuzungumza na Watu na Kucheka sana?
  4. Unaruhusiwa hata Kujinyoosha na kupungia Watu mikono?
  5. Madaktari wanaweza kuwaruhusu Watu wajazane sana karibu yako?
  6. Unaweza ukakumbuka vitu sawasawa kama vya akina Che Guavara na Fidel Castro?
  7. Unaweza kupenda kukumbushwa kumbushwa majanga mbalimbali ya Kidunia?
Nitashukuru nikijibiwa.

Nawasilisha.
 
INTENSIVE CARE UNIT Hata ndugu yako harusiwi kukuona zaidi ya kupata maendeleo yake kutoka kwa Dr, hata ukimuona hawezi kuongea maana anakuwa amevalishwa vifaa muhimu vya kumfanya apumue kwa urahisi, nashangaa matamko kibao humu sijui wanamfurahisha nani?
 
ICU wengine wanapumua kwa misaada wa mashine wakipewa dawa za kupunguza maumivu na kuwapumzisha. Hii ni kutupa mwili mapumziko ili uweze kujitibu kwa msaada wa dawa. Mara nyingi inakuwa baada y operesheni kubwa.
Mgonjwa anakula chakula mwalumu kwa mirija ya puani au kupitia mishipa ya damu.

Ndugu wanaruhusiwa kumuona mgonjwa kama madaktari hawashuhuliki nae. Kwa hospitali kubwa kunakuwa na nurse mmoja kwa mgonjwa mmoja. Mgonjwa anahitaji uangalizi wa hali ya juu.
 
AICU -Adult Intensive Care Unit kwa ajili ya watu wazima
NICU-Neonatal Intensive Care Unit kwa ajili ya watoto chini ya siku 28
PICU-Paediatric Intensibe Care Unit kwa ajili ya watoto zaidi ya mwezi mmoja
Pia baadhi ya hospitali zina sub-icu kwa kila wodi kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu .

Kila hospitali ina guidelines zake kwa ICU admission mf.patients walio kwenye shock,diabetic keto acidosis, severe respiratory distress n.k

Ndugu wanaruhusiwa kumuona mgonjwa aliye ICU na kwa hospitali chache za rufaa ninazojua wanaruhusiwa kuingia watu wawili wawili tu kwa wakati mmoja kwa hiyo ndugu wanaingia kwa zamu watu hawaruhusiwi kujazana, kupunga mkono na kukumbuka vitu ni inategemea hali uliyonayo.

Ila hapo mwisho naona maswali yako yamekaa kisiasa kidogo [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wanasiasa na wagonjwa wa kisiasa mara nyingi kuna utofauti kama ambavyo hadi katibu mkuu alikuwa kwenye operation room Tundu Lissu akiwa Dodoma General pia kama ambavyo walipiga picha hadi operation room wakati kawaida kupata ruhusa ya kupiga hicho picha moja theatre kuna a lot of paper work
 
Je ukiwa ICU....
  1. Unaruhusiwa kuonana na Watu mara kwa mara?
  2. Unaruhusiwa kupiga stori za Kufikirisha na Watu?
  3. Unaruhusiwa kuzungumza na Watu na Kucheka sana?
  4. Unaruhusiwa hata Kujinyoosha na kupungia Watu mikono?
  5. Madaktari wanaweza kuwaruhusu Watu wajazane sana karibu yako?
  6. Unaweza ukakumbuka vitu sawasawa kama vya akina Che Guavara na Fidel Castro?
  7. Unaweza kupenda kukumbushwa kumbushwa majanga mbalimbali ya Kidunia?
Nitashukuru nikijibiwa.

Nawasilisha.
3e925d30f3044261b6237860fb8a450a.jpg
 
AICU -Adult Intensive Care Unit kwa ajili ya watu wazima
NICU-Neonatal Intensive Care Unit kwa ajili ya watoto chini ya siku 28
PICU-Paediatric Intensibe Care Unit kwa ajili ya watoto zaidi ya mwezi mmoja
Pia baadhi ya hospitali zina sub-icu kwa kila wodi kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu .

Kila hospitali ina guidelines zake kwa ICU admission mf.patients walio kwenye shock,diabetic keto acidosis, severe respiratory distress n.k

Ndugu wanaruhusiwa kumuona mgonjwa aliye ICU na kwa hospitali chache za rufaa ninazojua wanaruhusiwa kuingia watu wawili wawili tu kwa wakati mmoja kwa hiyo ndugu wanaingia kwa zamu watu hawaruhusiwi kujazana, kupunga mkono na kukumbuka vitu ni inategemea hali uliyonayo.

Ila hapo mwisho naona maswali yako yamekaa kisiasa kidogo [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kumbe aisee
 
INTENSIVE CARE UNIT Hata ndugu yako harusiwi kukuona zaidi ya kupata maendeleo yake kutoka kwa Dr, hata ukimuona hawezi kuongea maana anakuwa amevalishwa vifaa muhimu vya kumfanya apumue kwa urahisi, nashangaa matamko kibao humu sijui wanamfurahisha nani?
Ile ni lugha ya kukusanya michango
 
Ile ni lugha ya kukusanya michango
Swala la Lissu limewatesa sana watesi wake. Mimi mimewahi kuuguza Aghakan hapo Nairobi, pale kuna vyumba aina tatu kwa mgonjwa, kuna chumba cha kawaida (walalahoi) kinalipwa dola 1400 kwa wiki, kuna chumba ambacho mgonjwa ana daktari na nurse kila dola 4000 kwa wiki, na kuna ICU yenyewe, ambapo mgonjwa huishi kwa kutegemea vyombo na madaktari kila wakati. Nacho kina gharama za ziada!!! Na wagonjwa wengi humo hawajitambui wa kuongea, na ndio maana mwanzoni watu hawakupata hizo picha wala sauti, lakini sasa mgonjwa anatolewa nje kwenye wheelchair, ndio maana tunapata picha na sauti yake, akiwapungia na mkono!!

Rudieni pia hoja #9 katika mjadala huu. Soma kwa makini utaelewa

Kwahiyo mtu yuko ICU anatembelewa na watu kila siku na anaongea hata kutoa matamko? ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom