Hivi kuna ajira ambayo inahitaji ulipie mkataba?

Hivi kuna ajira ambayo inahitaji ulipie mkataba?

Massawejr

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
19
Reaction score
23
Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
 
pamoja na kuwa naishi huku kijijini mletele songea lakini siwezi kutapeliwa kidwanzi namna hiyo.
 
Back
Top Bottom