Massawejr Member Joined Jul 22, 2022 Posts 19 Reaction score 23 Dec 30, 2024 #1 Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo?
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Dec 30, 2024 #2 Kimbia kabisa utoke hapo. Otherwise hiyo ada ya kusaini mkataba ikatwe kwenye mshahara wako wa kwanza, kiasi kinachobakia utapokea mwisho wa mwezi
Kimbia kabisa utoke hapo. Otherwise hiyo ada ya kusaini mkataba ikatwe kwenye mshahara wako wa kwanza, kiasi kinachobakia utapokea mwisho wa mwezi
pombe kali JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 282 Reaction score 561 Dec 30, 2024 #3 dj niwekee "kitu kizito" ya miso misondo
Massawejr Member Joined Jul 22, 2022 Posts 19 Reaction score 23 Dec 30, 2024 Thread starter #4 pombe kali said: dj niwekee "kitu kizito" ya miso misondo Click to expand... hahhaahahah sijapenda
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Dec 30, 2024 #5 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Dec 30, 2024 #6 Massawe wenzio wako moshi we unataka upigwe hela bwashee vipi!
T TSUDUNI Member Joined Oct 6, 2017 Posts 83 Reaction score 145 Dec 30, 2024 #7 Massawejr said: Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo? Click to expand... unatapeliwa
Massawejr said: Hivi ndugu zangu kuna ajira ambayo mtu anabidi alipie kwanza nkataba ili aweze kusaini mkataba ule maana hii iananichanganya kidgo? Click to expand... unatapeliwa
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Dec 30, 2024 #8 pamoja na kuwa naishi huku kijijini mletele songea lakini siwezi kutapeliwa kidwanzi namna hiyo.
Massawejr Member Joined Jul 22, 2022 Posts 19 Reaction score 23 Dec 31, 2024 Thread starter #9 Half american said: Massawe wenzio wako moshi we unataka upigwe hela bwashee vipi! Click to expand... hahahah bwashee nimekuja kutafuta ela na sio kutapeliwa
Half american said: Massawe wenzio wako moshi we unataka upigwe hela bwashee vipi! Click to expand... hahahah bwashee nimekuja kutafuta ela na sio kutapeliwa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Dec 31, 2024 #10 Toa tuu hy pesa, ili upate lazima utowe
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Dec 31, 2024 #11 Massawejr said: hahahah bwashee nimekuja kutafuta ela na sio kutapeliwa Click to expand... Unazingua