Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

Hivi kuna app ya NBC tanzania premier league, yenye all the stats, news, livescore ?? au watu awaoni opportunities

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips

any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know.

this could be done in less than a week. & be launched before next season. for trials

#note : kama mzee wako yupo tff au bodi ya ligi mwambie yeye ni kilaza.

alot of ways to improve and cementing our league, they can do something great with times like this .
 
Umefikiria jambo zuri sana mkuu. Kungekuwa na App ya only NBCPL pekee maana kwasasa inafatiliwa vilivyo ndani na nje ya nchi ingependeza zaidi na ni fursa pia.
 
Umefikiria jambo zuri sana mkuu. Kungekuwa na App ya only NBCPL pekee maana kwasasa inafatiliwa vilivyo ndani na nje ya nchi ingependeza zaidi na ni fursa pia.
Zipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCORE

Ila TFF wangeshirikiana na Azam kudevelop app ya NBC PL maana hizo app za kizungu ukimtafuta mchezaji wa kibongo uangalie profile yake utakutana na kivuli tu hutaona CV yake inabidi uunge unge kusoma articles za zamani kupata mwanga

Mfano nilishawahi kuangalia profile za wachezaji wafuatao wa kibongo sikuziona

Amos Yona wa prison
Waziri JR wa kmc
Zidane sereli wa DODOMA JIJI
Metacha Mnata wa Yanga
Crispin Ngushi

Sikuona chochote hata mtandaoni hamna taarifa zao walikotoka

Ikabidi nikaulize kijiweni ndio nkaanza kujua kuwa mnata alikuwa Biashara United taarifa zingine hamna

TFF wamelala sana
 
Mimi Hili lilinisumbua sana hasa nlipotaka kuangalia taarifa mbalimbali kama top scorer, player statistics, msimamo wa ligi na mambo kibao ila hakuna sehem maalumi inayofanya haya kwa haraka.

Unaweza fikiri wasomi hawapo, laa wasomi wapo ila waliozishika bodi ya ligi na TFF ni viazi mnoo, Bado wanaendesha mambo yao utafikiri hii ni 2010.

Na kibaya zaidi hayataki kushauriwa .
 
Zipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCORE

Ila TFF wangeshirikiana na Azam kudevelop app ya NBC PL maana hizo app za kizungu ukimtafuta mchezaji wa kibongo uangalie profile yake utakutana na kivuli tu hutaona CV yake inabidi uunge unge kusoma articles za zamani kupata mwanga

Mfano nilishawahi kuangalia profile za wachezaji wafuatao wa kibongo sikuziona

Amos Yona wa prison
Waziri JR wa kmc
Zidane sereli wa DODOMA JIJI
Metacha Mnata wa Yanga
Crispin Ngushi

Sikuona chochote hata mtandaoni hamna taarifa zao walikotoka

Ikabidi nikaulize kijiweni ndio nkaanza kujua kuwa mnata alikuwa Biashara United taarifa zingine hamna

TFF wamelala sana
Ndo mana wachezaji wa kibongoo huishia soka la nyumban moja ya sabubu ni hukuna profile zao yaani hawatambuliki hata na bodi ya ligi wanayocheza
 
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips

any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI VILAZA this i know.
Hao TFF na bodi ya ligi wameridhika, wanakamua tu viingilio vya timu na fedha za udhamini. Hii kweli ni fursa ingeongeza hela kiasi kwa vilabu vyetu.
 
App inaitwa “Live ball” wanajitahidi kwa takwimu za NBC PL
TFF washirikiane na AZAM, hiyo app iendeshwe na mrusha matangazo ya moja kwa moja ambaye ni AZAM wao wawe waangalizi tu, maana Data zote wanazo Azam,

Wengi tulikuwa hatujui kuwa kibu Denis ana assist moja na magoli mawili msimu mzima, hizi data tulikuja kuzijua baada ya azam media kuzitumia kufanya uchambuzi.

Kitu kingine nadhani kuna mfumo wa kimataifa wa kupakia data za wachezaji, ila cha ajabu nkikuuliza unitafutie data za IBRAHIM BACCA alitokea timu gani hutazipata kirahisi, au nzengeli slotokea timu gani hutazipata yaani profile ya mchezaji haijulikani ndio maana wabongo hawapati usajili nje ya nchi

Unakumbuka AFCON kabla haijaanza? wachezaji wote walipigwa picha na kuandikiwa profile zao.

Na hii ndio sababu academy za bongo hazijulikani duniani hata wewe nkikuuliza unitajie academy tano sio ajabu ukashindwa kutaja hata moja. Ila kule Nigeria na Ivory coast acsdemy zinajitangaza pia zinapushiwa na federation zao.

Azam wanajitahidi sana kufanya kazi za TFF kuliko TFF wenyewe. Sasa hivi wanaonyesha mpaka ligi ya NBC ya under20
 
🚮 unaipa promo yako ya kijinga, imejaa ads na promo, ina stuck uselessapp. fake stats, aina info. niujinga tu ndani mule

watanzania wengine wachawi sana. wa maendeleo

akili huna
Narudia tena wewe ni MSENGEREMA tafuta simu ya maana acha kutumia Infinix
 
Back
Top Bottom