Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Zipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCOREUmefikiria jambo zuri sana mkuu. Kungekuwa na App ya only NBCPL pekee maana kwasasa inafatiliwa vilivyo ndani na nje ya nchi ingependeza zaidi na ni fursa pia.
Lile tumbo haliwezi kumruhusu Kalia kuwa na akili.any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI VILAZA this i know.
Ndo mana wachezaji wa kibongoo huishia soka la nyumban moja ya sabubu ni hukuna profile zao yaani hawatambuliki hata na bodi ya ligi wanayochezaZipo za wazungu na hiyo NBC PL imo mfano SOFA SCORE, LIVE SCORE
Ila TFF wangeshirikiana na Azam kudevelop app ya NBC PL maana hizo app za kizungu ukimtafuta mchezaji wa kibongo uangalie profile yake utakutana na kivuli tu hutaona CV yake inabidi uunge unge kusoma articles za zamani kupata mwanga
Mfano nilishawahi kuangalia profile za wachezaji wafuatao wa kibongo sikuziona
Amos Yona wa prison
Waziri JR wa kmc
Zidane sereli wa DODOMA JIJI
Metacha Mnata wa Yanga
Crispin Ngushi
Sikuona chochote hata mtandaoni hamna taarifa zao walikotoka
Ikabidi nikaulize kijiweni ndio nkaanza kujua kuwa mnata alikuwa Biashara United taarifa zingine hamna
TFF wamelala sana
Hao TFF na bodi ya ligi wameridhika, wanakamua tu viingilio vya timu na fedha za udhamini. Hii kweli ni fursa ingeongeza hela kiasi kwa vilabu vyetu.i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips
any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI VILAZA this i know.
nbc ni bank sio shirikisho la soka.Nbc ndo walipaswa wadevelop hiyo app
trust me, ingepush watu sana. you print out your cv in minutes.Lile tumbo haliwezi kumruhusu Kalia kuwa na akili.
Wazo zuri sana
Ukielewa kwa nini wapo kwenye soka, utaelewa pia hili.nbc ni bank sio shirikisho la soka.
Hii ni kazi ya bodi ya ligi wao ndio wanahusika moja kwa moja na ligi kuu.Nbc ndo walipaswa wadevelop hiyo app
uliona wapi, app ya ligi kuu ikaitwa live ball, walete app complete ya ligi kuu kama ligi kuu waki endorse it, kuwa na special app.App inaitwa “Live ball” wanajitahidi kwa takwimu za NBC PL
Wewe ni msengerema punguza ujuajiuliona wapi, app ya ligi kuu ikaitwa live ball, walete app complete ya ligi kuu kama ligi kuu waki endorse it, kuwa na special app.
🚮 unaipa promo yako ya kijinga, imejaa ads na promo, ina stuck uselessapp. fake stats, aina info. niujinga tu ndani muleWewe ni msengerema punguza ujuaji
TFF washirikiane na AZAM, hiyo app iendeshwe na mrusha matangazo ya moja kwa moja ambaye ni AZAM wao wawe waangalizi tu, maana Data zote wanazo Azam,App inaitwa “Live ball” wanajitahidi kwa takwimu za NBC PL
Narudia tena wewe ni MSENGEREMA tafuta simu ya maana acha kutumia Infinix🚮 unaipa promo yako ya kijinga, imejaa ads na promo, ina stuck uselessapp. fake stats, aina info. niujinga tu ndani mule
watanzania wengine wachawi sana. wa maendeleo
akili huna
we are waitingHii ni kazi ya bodi ya ligi wao ndio wanahusika moja kwa moja na ligi kuu.