Hivi kuna "Best" Fighter kuliko Lockheed Martin Raptor F-22 Duniani?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu.

Kwa wapenzi wa Military jet fighters, nadhani tunakubali F-22 ndio the best hadi sasa.

Hii chuma ni latest generation (5th generation) na tokea zianze kutengezwa Marekani 2010 na Lockheed Martin, dunia nzima inakubali moto wake.

Warusi wanazo Sukhoi zao (SU-35, SU-57 etc.) ila kwa Raptor zote naamini zinakaa.

Kuanzia speed, range, weapons, maneuverability, stealth, n.k

Tusubiri 2030 zije 6th generations, maybe zitawapoteza hawa vibaya sana.
 
Hao pilots naamini huwa wana skills kubwa sana, kuna manoeuvre huwa wanafanya mpaka unashangaa
 
F-35 nazo ni balaa nakumbuka Ile siku Iran amerusha drones ndani ya Israel hizo ndege zilifanya kazi kubwa Sana
 
Na kinachonivutia zaidi ni mafunzo ya marubani wake. Utapenda ingawaje ni magumu sana. Kuipindua ili kufanya maneurve hiyo ndege hadi kufikia 10gs sio mchezo wa kitoto. Na mafunzo ya hizi ni continuous zaidi ya miaka minne .
 
Na kinachonivutia zaidi ni mafunzo ya marubani wake. Utapenda ingawaje ni magumu sana. Kuipindua ili kufanya maneurve hiyo ndege hadi kufikia 10gs sio mchezo wa kitoto. Na mafunzo ya hizi ni continuous zaidi ya miaka minne .
Aisee ile tizi shikamoo. Kama mdau wa movie check Tom Cruise kwenye Top Gun Maverick
 
Kuanzia speed, range, weapons, maneuverability
The maneuver is named for Russian pilot Victor Pugachev, who first successfully showcased it in a Su-27 at the Paris Airshow in 1998. The Cobra maneuver is standard for all fifth-generation fighters at airshows and even appeared in the 2023 Hollywood blockbuster Top Gun: Maverick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…