Aisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule.
Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary hizi ngoma nasikiliza sana hata sielewi wanaimba nini.
Kweli wakati ukuta, Ja Rule alikuwa at the peak lakini baada ya bifu na 50 cent alianguka vibaya sana na Ashanti akawa victim wa bifu hili.