Hii nadhani ndio collaboration bora ya muda wote kwangu Mimi.Kolabo Yao ilifunikwa na dillema ya mtu mzima nelly
Always on time ilikua unyama sana.Aisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule.
Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary hizi ngoma nasikiliza sana hata sielewi wanaimba nini.
Kweli wakati ukuta, Ja Rule alikuwa at the peak lakini baada ya bifu na 50 cent alianguka vibaya sana na Ashanti akawa victim wa bifu hili.
Husnaaaaaaa dat du dat du beibeeeNilikuwa sijaanza shule mjomba wangu akaja kunichukua, siku zote kwenye gari alikuwa anapiga ngoma ya Whats Luv nikawa naiimba kitoto kwa mumbling.
Ni ngoma ya kwanza kabisa ya nje kuisikia.
Dah sie ndio vijana wakati huo na tayari tulikuwa tunazichana kabisa... tattoo in chest with name in middle..kumbe mstari huo nilikua naukosea ila kidogooooNilikuwa sijaanza shule mjomba wangu akaja kunichukua, siku zote kwenye gari alikuwa anapiga ngoma ya Whats Luv nikawa naiimba kitoto kwa mumbling.
Ni ngoma ya kwanza kabisa ya nje kuisikia.
Ain't nothing like the 1990s/2000s era, the best ever hapo madude yalipigwa aiseeAisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule.
Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary hizi ngoma nasikiliza sana hata sielewi wanaimba nini.
Kweli wakati ukuta, Ja Rule alikuwa at the peak lakini baada ya bifu na 50 cent alianguka vibaya sana na Ashanti akawa victim wa bifu hili.
Ni 03 Bonnie& Clyde....ya 2pac ndio iliitwa me&my girlfriend...zilifanana,hio ya Jiggaman&Sasha Fierce ni remixJay z ,Beyonce Me&my girlfriend
Hakika mkuu ngoma 2002 lkn kuna madogo hadi wa 2010 wanabaengi nayo ninyamwezHii nadhani ndio collaboration bora ya muda wote kwangu Mimi.