Hivi kuna dawa/kinga maalum ya kudhibiti upupu au vitu vingine viwashavyo kwenye ngozi?

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,442
Habari ndugu wanajukwaa,

Nauliza ukiachilia mbali kuvumilia mpaka muda fulani vipoe na usiwashwe au kupaka mchanga majivu na mbinu nyingine za kawaida je, kuna dawa ya vitu vinavyowasha kwa mfano upupu?
 
Asante mkuu... haya majani yapo mengi sana huku nilipo, upupu nao ni mwingi sana pia ila hapo changamoto ni mbili

Kwanza upupu unakuwa umekomaa kipindi cha kiangazi na ndio unakuwa unawasha haswa hata upepo tu ukivuma hapa kijijini kama mtu hakufunga madirisha basi kesho asubuhi atasimulia kilichompata usiku... lakini majani hayo kipindi hicho ni adimu maana yenyewe yanashamiri kipindi cha mvua

Pili ni kwamba hata nikiyapata hayo majani shughuli itakuja kwenye mtu wa kumfanyia majaribio hahahaaa
 
Acha utoto ushaonyeshwa mti unaoweza kutibu kuwashwa afu unaleta porojo kwa nini usiumwagilie huo mti ili uendelee kustawi.Ama unapenda kuwashwa pia kuna njia nyingine za kukutibu pia.
 
Acha utoto ushaonyeshwa mti unaoweza kutibu kuwashwa afu unaleta porojo kwa nini usiumwagilie huo mti ili uendelee kustawi.Ama unapenda kuwashwa pia kuna njia nyingine za kukutibu pia.
Du! Kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…