Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

tujifunze na wengine unakuta una kaka au mtoto wa kiume anajipenda kujipodoa podoa huwa tunapenda kumsifia na kumuita majina ya sifa sifa bila kujua kilichopo nyuma ya pazia ,...

mwanaume awe msafi na smart na si mrembo. pole mae
 
ataacha wafanye maombi
Kuna sehemu maombi hayasaidii hata kidogo.

Huenda ashapata madhara makubwa tayari jogoo ndiyo hivyo hawiki tena. So hata akiacha atakuwa ni zero tu huyo.

Bora hata wamfukuze nyumbani huyo maana kawatia aibu ambayo ni irreparable.
 
Mpeni ushirikiano awaambie alianzaje...kisa mumuwekee mtego huyo kidume uchwala anaekulakidume mwezie (sijui hata anaanzaje kudindisha) muwaweke wote kitimoto cha maana muwaumize kisaikolojia hawatorudia tena...
 
Kuna sehemu maombi hayasaidii hata kidogo.

Huenda ashapata madhara makubwa tayari jogoo ndiyo hivyo hawiki tena. So hata akiacha atakuwa ni zero tu huyo.

Bora hata wamfukuze nyumbani huyo maana kawatia aibu ambayo ni irreparable.
wakimfukuza si ataolewa kabisa
 
Malizeni uzia, mtasikitika kinafiki siku 3 kisha mnamsahau kabisa, tatizo mtakua mmelikomesha
 
wakimfukuza si ataolewa kabisa
Aolewe tu huyo. Ujue wakati mwingine tusiwe tunafuga wenyewe ugonjwa kama huo.

Ikitokea hivyo mfukuze home halafu usahau kama haujawahi kuwa na Toto pumbavu kama hilo.
 
Na ubongo wake utaubadilisha na hiyo ndizi? That is X and Y corrupted haina uhusiano wa ndizi na joto. mtot o wa miaka mitatu anakwamia sitaki nguo za kiume na hali ni mwanaume je, kaenda boarding gani? hataki ingia choo na baba yake anamsubiri mama amwogeshi, anataka chupi za kike miaka mitatu tu je huyu shule kapata wapi. Genes corrupted jamani nitukani mtachoka ila mimi nina examples za kutoa.

Mimi ni straight, wanangu wote ni sawa ila nina watoto wa ndugu ambao wamelelewa mazingira tofauti ya wanangu ambao wapo hivyo. Nina kaka yangu hawezi kujitangaza sababu ni mtu mzima ila ni mseja mpaka leo Why? Sababu hawezi approach wanawake na hawezi ila sababu ya mila zetu hawezi approach wanaume hivyo amebaki single he is in early sixties.

Hivyo ni genetic disorder na mtasema weee mpaka wenzenu waliowaua magay sasa wameamua kuwaomba msamaha. Kumbuka mvumbuzi wa Cod iliyoangamiza wagerumani alikuwa gay na alifungwa. He was poisoned. Leo wanamuomba msamaha wakati alishauawa. Let people be what they are. Mbona vilema wa miguu hamwachinji?
 
daah hiyo kitu kuacha ni noma yaanii ni kama ngada ushauri mwambie amrudie mungu, kama anadinda muoleeni mwnamke mumpe . ila na wewe acha kuchezea simu ya mdogo wako.
 
we vipi si ataenda kugongwa mbaaaali huko.
 
Kwanza mmefanya kosa kubwa sana kumuattack... Ilitakiwa mumuendee kwa utaratibu wa counseling. Sasa hapo kuna kazi kubwa ya Kufanya..... Kwanza mtengeneze mazingira ya kuonyesha kuwa mumemsamehe na mnajua anachokifanya japo ni kosa.... Pili ndo muanze therapy ya counseling. Sio kazi ndogo..... Huko hospital mnapokwenda hakuna tibaaaaaa. Hilo si swala la akili yake sio mwili. Tayari anaujua utamu wake, kuutoa kichwani ni swala la ushauri nasaha. Tumewahi kupata tatizo Kama Hilo na tukalishugulikia. Ni PM nikupe mwongozo.
 
Tatizo ni akili yake INA mtazamo WA kupenda Jambo hilo, tafuta MTU mzima WA kiume ampe mashauri ya kiakili na kumjenga awe na mtazamo WA kiume. Aonyeshwe ubaya WA jambo hilo na hasara ambayo familia itapata kutia ndani aibu kwa familia. Pia kama ni mkristo afundishwe imani ya kweli ktk maandiko matakatifu yanayokataza matendo hayo, kisha muendelee kufuatilia nyendo zake mpaka atakapoimarika. Wapo waliobadilika na sasa wanafamilia zao
 
Soma vizuri michango ya hapo juu na uandae summary ya kilichosemwa kinachoweza kusaidia. Hakuna tatizo lisilo na suluhisho.
 
Daah, poleni kwa ilo saibu

Inawezekana toka long time ago anafanywa. Sasa hapo possibly yy mwenyewe ndo aache kwa kuamua.

Imefika mahela sasa watoto waanze kusoma boarding wakiwa wako matured na kutotoa nafasi jamii iwafundishe ustaarabu rather wazazi waone jukumu lao kama sehemu ya malezi.
 
mkuu huyu ni dada mtu aone tigo ya kaka duh
 
Kuweni wakali mwambieni kwamba ilo jambo analofanya ni uchafu na nyinyi hampendezwi na anacho kifanya Kwa aibu ataacha tu.
 
Mkuu, kuna watt niliona social networks wanahojiwa na waalimu wao. You cant imagine watt wa drs la 3-4 wanageuzana wao kwao

Sasa chakujiuliza, wamejifunza huo mchezo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…