Habari wandugu? Naomba madaktari waliopo hapa wanisaidie,hivi duniani humu kuna dawa ambayo ina uwezo wa kuzuia mhemko?( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa)
Duh wewe upo viceversa na mimi. Nahitaji mihemko kuendana na kasi na viwango vya mke wangu. Okey, tiba ni zoezi na akili. Fanya mazoezi na jitambue kwamba hutaki mambo ya ngono.
Ahsante