Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza.
Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini natamani kungekuwa na watu wabobezi waliosomea hizo ishu.
Kuna chuo Tanzania kinatoa kozi ya digital marketing?