Kuwa certified napo ni vyema. Hizi shule za coursera watu bado hawaziamini sana japo zinatoa elimu nzuri.Chuo ni UDEMY au Coursera.
Au unataka vyeti vya kuombea kazi ?
Je, unaona matangazo ya kazi hizo ?
Nadhani labda unataka vyeti vinavyotokana na uvaaji wa majoho.Kuwa certified napo ni vyema. Hizi shule za coursera watu bado hawaziamini sana japo zinatoa elimu nzuri.
Ni vema nchi ikawa na wataalamu wa digital marekting, kila biashara inahitajika kujitangaza. Kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayojitangaza na inayotegemea kudra.
Si sababu ya majoho, nataka tuwe na wataalamu wa hii sekta maana ndiko dunia inaenda. Na mimi baada ya kuanza kutangaza insta nimeona tofauti ya biashara inayojitangaza na isiyojitangaza. Lakini changamoto ni nyingi ndiyo maana naulizia kama kuna wataalamu wa digital marketing.Nadhani labda unataka vyeti vinavyotokana na uvaaji wa majoho.
Ila ukihitaji kujua digital marketing kwaajili ya msaada wako unapata.