Uto tudude kipindi tupo fomu 3 kuna njuka alikuja navyo kama tutatu, basi fomu 2 wakavichukua vyote.View attachment 3636228
Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu.
Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy ndiyo inanifaa zaidi.
Harufu yake ni laini na safi, si kali, haisababishi kero wala chafya, na haiachi michirizi meupe kwenye nguo sehemu za kwapani.
Kama wewe ni gentleman unayetaka kuwa fresh siku nzima bila harufu mbaya ya jasho, hii roll-on inaweza kukufaa. Hata usipopulizia pafyumu, bado utakuwa na harufu safi na ya kuvutia.
Cha kushangaza zaidi, bei yake ni elfu 5 tu, na inapatikana karibu kila duka la vipodozi na pharmacy.
Je, wewe unatumia deodorant gani ambayo unaona inaizidi Nivea Fresh Energy?
Hyo ni bei gan
Raha ya mwanaume kile kiharufu cha kibeberuView attachment 3636228
Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu.
Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy ndiyo inanifaa zaidi.
Harufu yake ni laini na safi, si kali, haisababishi kero wala chafya, na haiachi michirizi meupe kwenye nguo sehemu za kwapani.
Kama wewe ni gentleman unayetaka kuwa fresh siku nzima bila harufu mbaya ya jasho, hii roll-on inaweza kukufaa. Hata usipopulizia pafyumu, bado utakuwa na harufu safi na ya kuvutia.
Cha kushangaza zaidi, bei yake ni elfu 5 tu, na inapatikana karibu kila duka la vipodozi na pharmacy.
Je, wewe unatumia deodorant gani ambayo unaona inaizidi Nivea Fresh Energy?
Wanatakiwa wakulipe pesa ndefu,aisee!View attachment 3636228

Unawaitangazia biashara bila nongwa.Kwa nini?
Kunukia ndio uanaume??Ule ni uchafu. Kunuka sio uanaume
Vijana wa hovyo tayari washadindishaUna mkono mzuri sana siwezi kuishi bila wewe naomba nikuoe