F Faymario Member Joined Aug 11, 2011 Posts 23 Reaction score 1 Jul 10, 2012 #1 Naomba kujua kama kuna mahali wananunua simu used.
K kilakala Member Joined May 19, 2011 Posts 23 Reaction score 2 Jul 12, 2012 #2 Sehemu wanazonunua used simu ni kwa mafundi simu ambao wapo sehemu kubwa ya jiji. Vile vile unaweza kucheck na maduka ya kariakoo kwani wao mara nyingi huwa wanauza used simu ambazo wameziweka cover mpya na zinaonekana kama mpya.
Sehemu wanazonunua used simu ni kwa mafundi simu ambao wapo sehemu kubwa ya jiji. Vile vile unaweza kucheck na maduka ya kariakoo kwani wao mara nyingi huwa wanauza used simu ambazo wameziweka cover mpya na zinaonekana kama mpya.