Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unawafollow hao 6 ulikuwa unabonyeza tu mkuu?[/QUOTE
Nakufollow mkuu naona una maarifa kuntuNaam. Mkuu wakiku-tag maana yake unapata direct notification that you are tagged in a certain post.
Lakini hii ya kufollow ni mpaka pale utakapoamua mwenye kuiendea News Feed yako na kujionea. Hakuna direct notification.
Karibu Mkuu.