JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Mkuu Gentleman GPA zinapatikana kwa namna gn?PhD is primarily for academicians mana kwao ni takwa la msingi. Sasa mtu ambaye si mwanataaluma akiishia masters inatosha.
Lakini pia sio mbaya labda analenga kufanya kazi kwenye mashirikia binafsi/umma ambayo huwatumia watu wenye PhD katika nafasi za uongozi bila ya kigezo cha GPA ya shahada ya kwanza.
Kama msingi wa kusoma kwake ni huu wa pili basi ni sawa ila kwenye taaluma hawezi kwenda kwa gentleman degree. Lakin pia elewa PhD inafungua fursa mbalimbali pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu unaweza kusema masters ni professional degree na Ph.D. ni research degree. Kama wewe unafanya kazi kwenye shirika kubwa hasa yale ya uzalishaji na uko kwenye kitengo cha "research and development" Ph>D. kwako ni lazima. Kwa hiyo jibu la swali hili ni "inategemea na kazi yako. Kuna sehemu nyingine hata kama si academician, Ph.D. ni lazima.PhD is primarily for academicians mana kwao ni takwa la msingi. Sasa mtu ambaye si mwanataaluma akiishia masters inatosha.
Lakini pia sio mbaya labda analenga kufanya kazi kwenye mashirikia binafsi/umma ambayo huwatumia watu wenye PhD katika nafasi za uongozi bila ya kigezo cha GPA ya shahada ya kwanza.
Kama msingi wa kusoma kwake ni huu wa pili basi ni sawa ila kwenye taaluma hawezi kwenda kwa gentleman degree. Lakin pia elewa PhD inafungua fursa mbalimbali pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gentle man GPA ndiyo ikoje?
Lengo lako la kusoma hizo Masters na PhD ni nini? Swali lako ni pana mno kuweza kujibika sawasawa. Labda ungesema taaluma unayotaka kusomea ingesaidia kidogo kwa sababu hizo opportunities unazozisema, mara nyingi, zinategemea uwanja un