Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
258
Reaction score
110
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
 
Hizo hukanyagi gia ni automatic gia,zipo nyingi mkuu hata chini ya hapoToyota Ist,raum nk
 
Mkuu, gari itakayokufaa iwe na 650cc. Mfano Suzuki Jimmy, Daihatsu, Terios kid, Minica, Pajero Mini, nk. Kwa mission town hizi ndio zenyewe.
All the best
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

Cha
 
TATIZO UJASEMA NA KIASI ULICHONACHO TUNAKUPA TU USHAURI EM MFANO SUZUKI JIMMY BEI IMECHANGAMKA KIDOGO 😂 LAKINI CC 650 YANI NI WEWE NA MBEBE WAKO KUAMA VIWANJA VYA KULA MAISHA
 
Mkuu, gari itakayokufaa iwe na 650cc. Mfano Suzuki Jimmy, Daihatsu, Terios kid, Minica, Pajero Mini, nk. Kwa mission town hizi ndio zenyewe.
All the best

Cha
Niliwahi kuongea na watumiaji wa Jimny 660 cc turbo , nyingi zinaenda 10-12 km/L town trip. Highway inaweza kukupa 14km/L. Pakistan ndo gari zao angalia ata reviews zao. Ila inasifika Kwa off roading tu
 
Dooh! Kumbe udogo wa bure tu.
 
Back
Top Bottom