mjasiriamali mdogo
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 258
- 110
Hizo hukanyagi gia ni automatic gia,zipo nyingi mkuu hata chini ya hapoToyota Ist,raum nkWadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
Suzuki JimnyWadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
Bila kusahau Suzuki solioMkuu, gari itakayokufaa iwe na 650cc. Mfano Suzuki Jimmy, Daihatsu, Terios kid, Minica, Pajero Mini, nk. Kwa mission town hizi ndio zenyewe.
All the best
Cha
Hii haikupi ulaji mzuri wa Mafuta ila utaenda nayo "where road does not go"Suzuki Jimny
Niliwahi kuongea na watumiaji wa Jimny 660 cc turbo , nyingi zinaenda 10-12 km/L town trip. Highway inaweza kukupa 14km/L. Pakistan ndo gari zao angalia ata reviews zao. Ila inasifika Kwa off roading tuMkuu, gari itakayokufaa iwe na 650cc. Mfano Suzuki Jimmy, Daihatsu, Terios kid, Minica, Pajero Mini, nk. Kwa mission town hizi ndio zenyewe.
All the best
Cha
Dooh! Kumbe udogo wa bure tu.Niliwahi kuongea na watumiaji wa Jimny 660 cc turbo , nyingi zinaenda 10-12 km/L town trip. Highway inaweza kukupa 14km/L. Pakistan ndo gari zao angalia ata reviews zao. Ila inasifika Kwa off roading tu